khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 210
Biashara ya udalali! Hata Manji ndio anachofanya. Ananunua huku na kuuza kule tena bila hata mtaji. Anaweka bla bla, anashinda tenda,anaenda benki wanadhamini show. Kiwanda kinaleta mali, then analipwa pamoja na faida yake. Anarudisha hela ya watu ya benki, then anaendelea kutumbua faida yake. Manji hana viwanda, lakini ndiye mmoja wa supplier mkubwa wa bidhaa mbali mbali hapa nchini...