Kumbe mapenzi yana mambo! Kusachiana mifukoni na kupekuliana simu kimya kimya pasipo kujua, na hamkuniambia?

Ndege wanaofanana ndiyo wanao ruka pamoja kwanini uwe mamluki kwa kutua pasipo kwako, lakini sioni kama kosa ukaguzi muhimu mbona ukiacha hela ya matembele ukakuta kuku unahoji.
 
Tatizo siyo kuombwa pesa! Kama unaombwa kwa tija haina noma!

Hata hao low demand unaosema wanamatatizo yao!
Sema ambacho sikukijua mapema kumbe mapenzi yana hizo mambo za kuchunguzana
Umejibu kihemkima mno mkuu
 
Ndege wanaofanana ndiyo wanao ruka pamoja kwanini uwe mamluki kwa kutua pasipo kwako, lakini sioni kama kosa ukaguzi muhimu mbona ukiacha hela ya matembele ukakuta kuku unahoji.
Value for money! Wewe ukimpa mtu nauli halafu umkute njiani anatembea hutahoji kwa nini anatembea?
 
Back
Top Bottom