Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Nilikuwa siwaelewi watu waliokuwa wanasema Marekani iliivamia Iraq kwa sababu ya mafuta, huenda pia kwa sababu wao walikuwa wanaongelea uporaji wa mafuta kana kwamba makampuni ya Marekani yanachimba mafuta halafu yanajiuzia tu mafuta na kuondoka na pesa kubabe au kifisadi wanavyojisikia.
Nimeelewa Uporaji wa mafuta ambao Marekani inaufanya ni wa kutengeneza mfumo tangu ilipofanya uvamizi kwamba pesa zote za mauzo ya mafuta ya Iraq lazima ziingizwe kwenye akaunti ya benki kuu ya Marekani iliyoko New York halafu serikali ya Marekani ndio inakuwa inaigawaia serikali ya Iraq baada ya kuwasilisha maombi kupitia bajeti!