Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kwa hiyo unaona sawa haya mafisadi ya CCM kujineemesha wao na familia zao? Nchi ina madini,misitu,gas,wanyama pori,mito,maziwa na bahari lakini maji shida watoto wanakaa chini shuleni.Sasa kuna haja ya kuwa nchi kwa namna hiyo, si bora kuwa Jimbo kabisa la Marekani na kuhusika kupiga kura kumchagua rais wa Marekani.