Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwa waliofuatilia mgogoro wa Israel na Palestina na namna mataifa koloni na makubwa yanavyojipendekeza na kujivua nguo, bila shaka kuna siri ambayo dunia inapaswa kuifanyia kazi. Ni kama wanakwenda Israel kuonyesha nadhiri zao kama wanaogopa kitu fulani.
Baya zaidi, hata waarabu amabao ndugu zao wanachinjwa hata wakiwa kwenye sehemu zinazolindwa na sheria za majambazi hawa walizozitunga wenyewe.
Katika mgogoro huu, waAfrika, waasia na waamerika ya kusini hautuhusu ingawa ukiangalia mbali unatuhusu. Je wewe unasemaje?