Kumbe mataifa yanayokalia wengine nayo yanakaliwa na kijipande kidogo cha ardhi kiitwacho Israel!

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039


Kwa waliofuatilia mgogoro wa Israel na Palestina na namna mataifa koloni na makubwa yanavyojipendekeza na kujivua nguo, bila shaka kuna siri ambayo dunia inapaswa kuifanyia kazi. Ni kama wanakwenda Israel kuonyesha nadhiri zao kama wanaogopa kitu fulani.

Baya zaidi, hata waarabu amabao ndugu zao wanachinjwa hata wakiwa kwenye sehemu zinazolindwa na sheria za majambazi hawa walizozitunga wenyewe.

Katika mgogoro huu, waAfrika, waasia na waamerika ya kusini hautuhusu ingawa ukiangalia mbali unatuhusu. Je wewe unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…