Kumbe Menejimenti Team yote ya BAWACHA wamepata Ubunge wa Viti Maalumu

Katika dunia hii ya sayansi na teknolojia itakuwa kilikaa maana hao wabunge wateule wote ni wajumbe wa kamati kuu!
Kusema tu "itakuwa" kilikaa haitoshi kabisa kwa sababu mtu yoyote hata mtoto wa chekechea anaweza kujisemea tu kuwa "itakuwa kilikaa".Neno "itakuwa kilikaa" haliakisi kuwa ni fact wala haliakisi kuwa ni kweli kuwa kikao hicho kilikaa kwa sababu ni neno ambalo unaweza kulitamka tu kadri unavyojisikia ila mradi uwe umejibu swali,ila mradi uwe umechangia hoja na ila mradi uwe umemuepuka muuliza swali.Cha maana hapa na cha msingi sana hapa ni kuthibitisha kuwa kikao hicho kilikaa.

Unaweza kuthibitisha kuwa kikao hicho kilikaa?
 
Halima James Mdee amesema uteuzi wao una baraka za mwenyekiti.

Sisi tuliompokea Lowassa hapo Ufipa 2015 tunaelewa alichomaanisha Halima.

CC ya Chadema ni rubber stamp ya maamuzi ya mwenyekiti!

Maendeleo hayana vyama.
 

Baada ya mabeberu kuweka vikwazo katika misaada na mikopo. Kukundi cha kina mama kimenunuliwa ili kuweka taswira ya upinzani bungeni.
 
nijibu swali langu la kizushi
Kigogo alimwambia Halima Kamati kuu imemuwekea majina ya nyumba ndogo ya Mbowe na Sugu ayaongeze, Halima kukataa ndio kaonekana mjinga?
Mwaka huu kuna ubaya gani Halima naye akachagua majina yake tena kwa wale walioumia kwenye wizi wa kuibiwa kura kama matiko, Mdee, Bulaya nk fuatilia majina ya Viti maalum miaka yote km hayana uhusiano na sio matakwa ya BAWACHA
Kikao hakiwezi kuwalazimisha eti niwekeeni na Dada yangu, acheni Demokrasia itamalaki popote
 
BAWACHA wakiongozwa na Halima Mdee waliamua kupeana ulaji bila kushirikisha kamati kuu..mdee mafia sana
Siku nilipomwona Halima Mdee akinywa soda na Gwajima pale kunduchi mtongani wakati wa kampeni ndio niliamini siasa siyo uadui!
 
Hawa watumwa wa kike wameuzwa Bungeni kwa njia haramu za kishetani kesho ijumaa wafukuzwe wote na endapo chadema haitawafukuza itambue kuwa inaenda kufariki moja kwa moja na kuwa kama TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 
Umeelezea vizuri sana.

Nakumbuka Tundu Lisu na Zitto waliwapaga dada zao ubunge hapo Ufipa!
 
Mbowe akikaa na hao viongozi 19 wabunge wateule ambao wote ni wajumbe wa CC na kufanya maamuzi hicho ni kikao halali!
Bwashee we ni mtu mzima sasa, kwa arguments hizi unatafuta kutukanwa na wajukuu zako humu kisha uanze kulialia kuwa vijana hawana adabu.
 
Hawa watumwa wa kike wameuzwa Bungeni kwa njia haramu za kishetani kesho ijumaa wafukuzwe wote na endapo chadema haitawafukuza itambue kuwa inaenda kufariki moja kwa moja na kuwa kama TLP NCCR na CUF ya Lipumba
Kuwafukuza siyo rahisi kama unavyofikiria bwashee!
 
Bwashee we ni mtu mzima sasa, kwa arguments hizi unatafuta kutukanwa na wajukuu zako humu kisha uanze kulialia kuwa vijana hawana adabu.
Wewe subiri kesho Halima James Mdee amwage mboga!
 
Itafahamika tu!
 
What's your point then, kwa hiyo kwa mujibu wako, ukiwa Halima James Mdee ndio unakuwa unajua katiba ya Chadema kuliko watu wote?!
Halima James Mdee anawazidi sana nyie mashujaa wa mitandaoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…