Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezekano wa majina kufika NEC bila kikao cha kamati kuu kufanyika hauwezi kuwepo?Seriously?Wenye mamlaka kama vile serekali wakawa na interest na viti maalum vya wapinzani bungeni lakini kutokana na sababu moja au nyingine kama vile wapinzani kufanyiwa dhuluma katika uchaguzi wakakataa kupeleka majina ya viti maalum NEC,wenye mamlaka watashindwa kushirikiana na hao viti maalum kukiuka sheria na hatimae kupeleka majina hayo NEC?Hili haliwezekani?Sasa kikao kisingefanyika majina yale yangefikaje NEC?
Uteuzi wa wabunge ni mchakato wa kisheria na NEC na Spika wa bunge siyo wajinga kama Ufipa mnavyowafikiria!
Na tunamzungumzia mayanga piaHapa tunazungumzia Bawacha bwashee!
Mlitaka mpelekewe watu wasiojitambua?Nilidhani yale majina ya Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA yalizingatia uwakilishi kama wafanyavyo UWT ya CCM.
Kumbe hawa CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA yaani Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Mkuu, Mtunza Hazina nk.
Ni kama vile BAWACHA imehamia Bungeni.
Hongereni akina Mama wa CHADEMA kwa kujipendelea.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema wanaweza kwenda mahakamani!Uwezekano wa majina kufika NEC bila kikao cha kamati kuu kufanyika hauwezi kuwepo?Seriously?Wenye mamlaka kama vile serekali wakawa na interest na viti maalum vya wapinzani bungeni lakini kutokana na sababu moja au nyingine kama vile wapinzani kufanyiwa dhuluma katika uchaguzi wakakataa kupeleka majina ya viti maalum NEC,wenye mamlaka watashindwa kushirikiana na hao viti maalum kukiuka sheria na hatimae kupeleka majina hayo NEC?Hili haliwezekani?
Kamati kuu sio peponi bwashee!!Lakini hamuingii kwenye kamati kuu ya Ufipa!
CCM inaingiaje hapo?CCM wamewalaghai hawa kina mama !! hii ni dhambi kubwa sana na ni lazima ikemewe kwa kila mpenda demokrasia ya kweli nchini.
Nyumbu oyeeeeeeeeeee!Hao wabunge haijachagua CHADEMA, hao ni wabunge wa Ndugai
Lisu alipoenda kumpitisha Seif kuwa mgombea wao wa urais Zanzibar kikao kipi na cha tarehe ngapi kilipitisha hilo.?Mimi kuijua katiba ya chadema kumpita Halima Mdee au kutokuijua katiba ya chadema kumpita Halima mdee haitaondoa kifungu cha sheria cha katiba ya chadema kinachoipa mamlaka kikao cha kamati kuu ya chama kuteua na kupitisha majina ya viti maalum.
Nakuuliza tena,je kuna kikao cha kamati kuu ya chama ambacho kilikaa kuteua na kupitisha majina ya viti maalum?
Wapinzani wanakwamisha maendeleo.Maendeleo hayana chama tupige kazi
Bado una imani tu na Chadema?Unavyodai ya kwamba CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA, je kuna kikao cha kamati kuu ya chama kilifanyika ili kuidhinisha na kupitisha majina hayo?
Ndo wanataka waongoze nchiChadema wana ubinafsi sana!
Upinzani huu wa chama kama Chadema?Wapinzani wanakwamisha maendeleo.
Mkichagua upinzani siwaletei maji.
Bunda wamenichanganyia magunzi na betri,nikawaacha bila maendeleo.
Kwa kauli hizi kama bado unaamini maendeleo hayana chama,utakuwa na tatizo la afya ya akili,mwili na roho.
Yaani kesi ya Tumbili upeleke kwa Ngedere?Kuna kupata haki hapo?Yaani serekali itende kosa kisha uipeleke katika mahakama ambazo tayari serekali hiyo hiyo ilishaziweka mfukoni, tena mfuko wa shati?Unaelewa ni kwa nini serekali imejitoa juzi katika mahakama ya haki za binadamu ya Afrika?Chadema wanaweza kwenda mahakamani!
CCM = Bunge + Mahakama + SerikaliCCM inaingiaje hapo?
CCM ni chama DolaCCM = Bunge + Mahakama + Serikali
So unapopambana na CCM basi elewa fika unapambana na hao jamaa watatu kwa pamoja.
Upo sahih mtu yoyote anaweza ongea chochote anachojisikia na ndio maana hata katibu nae kaongea yake lkn wale wale wamama hawajaenda pale kwa kukurupuka inaonekaana ndan ya ufipa Kuna tatizo ukizingatia wale wamama ni wajumbe wa hiyo kamat inayopaswa kupitisha majina nadhan hatupasw kumuhukumu yoyote tusubir hicho kikao ili tuujue uhalisiaHizi tuhuma zako mbalimbali ulizoongea hapo juu sijui hawara sijui nileteeni dada yangu,e.t.c nitajuaje na nitakuwaje na uhakika kuwa ni za kweli na wala siyo tu porojo za kisiasa za hapa na pale za kulifuraisha genge hapa?Kwa sababu hapa mtu anaweza kuongea chochote anachojisikia kuongea!
Hakika mkuu!Upo sahih mtu yoyote anaweza ongea chochote anachojisikia na ndio maana hata katibu nae kaongea yake lkn wale wale wamama hawajaenda pale kwa kukurupuka inaonekaana ndan ya ufipa Kuna tatizo ukizingatia wale wamama Ni wajumbe wa hiyo kamat inayopaswa kupitisha majina nadhan hatupasw kumuhukumu yoyote tusubir hicho kikao ili tuujue uhalisia
Chadema zero brain, Ndugai anawachagulia wabunge? Halafu mnawapeleka? Tena ni viongozi wa juu wa chadema wanachaguliwa na CCM?Hao wabunge haijachagua CHADEMA, hao ni wabunge wa Ndugai