CCM inapoka mamlaka ya wananchi kikatiba kwa kutumia Mwenyekiti wao ambaye ndiye Rais wa nchi.CCM ni chama Dola
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM inapoka mamlaka ya wananchi kikatiba kwa kutumia Mwenyekiti wao ambaye ndiye Rais wa nchi.CCM ni chama Dola
Ni wameuza chama kwa kushawishiwa na NdugaiNdugai angewezaje bila kina Halima. Lazima ukubali wakina mama wameuza chama
Mkuu, hiyo namba 1 na 4 ni watu tofauti?Hakuna jipya sana ingawa sounds nasty, haipendezi kabisa...Kama hii hapa
1. Mlipaji Mkuu wa serikali... Mtoto wa dada
2. Contractor Mayanga... mme wa mdogo wangu (shemeji)
3. Mkuu wa serikali... Rais
4. Mkuu wa hazina.... Mtoto wa dada
Ndugai mnamuonea bure!Ni wameuza chama kwa kushawishiwa na ndugai
CCM ni nyumbu sana nyie, katibu mkuu wa chadema Jana kakana na kakataa kamati haijachagua na haijapekeka list ya wabunge, Hao walioapa ni wabunge wa ndugai anajua alipowatoa muulizeni vizuri nyinyi nyumbuziChadema zero brain, Ndugai anawachagulia wabunge? Halafu mnawapeleka? Tena ni viongozi wa juu wa chadema wanachaguliwa na CCM?
CCM ni ma genius, chadema nyumbu hovyo kabisa hawawezi kukataa chochote toka CCM!
Demokrasia gani unayo refer hapa, kuwanyima haki ya kuwakilisha wananchi pia kuingilia Demokrasia. Mnamdhalilisha mjumbe wa kamati kuu kirahisi hivi.Halima Mdee ni icon ndani ya chadema but you guys are failing to show some bits of respect to her and cos. Yaani chadema mmeamua kumdhalilisha kwa kuwa ni mwanamke na mnasahau kuwa kuna jasho lake ndani ya chadema na mafanikio pia.CCM wamewalaghai hawa kina mama !! hii ni dhambi kubwa sana na ni lazima ikemewe kwa kila mpenda demokrasia ya kweli nchini.
Ndugai anawahitaji zaidi wakaongoze kamati za PAC, make babu yenu wa chato anazihitaji mno hela za mabeberu kuliko anavyozuga!Ndugai mnamuonea bure!
Halima kakulia bungeni. Ameshapazoea, akipakosa anaona kama hakuna maisha! Kwa hiyo haoni shida kujilipua!Hongera kwa mwenyekiti wa BAWACHA kwa uzalendo wa kweli kwa nchi, hongera sana
Huu ndiyo uthibitisho mwingine kuwa majina hayalupata barka za chama.Nilidhani yale majina ya Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA yalizingatia uwakilishi kama wafanyavyo UWT ya CCM.
Kumbe hawa CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA yaani Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Mkuu, Mtunza Hazina nk.
Ni kama vile BAWACHA imehamia Bungeni.
Hongereni akina Mama wa CHADEMA kwa kujipendelea.
Maendeleo hayana vyama!
Demokrasia ndani ya taasisi ina gharama zake, yaani msimamo wa wengi ndani ya kikao halali cha Taasisi ndiyo huwa msimamo wa Taasisi nzima hata kama maamuzi hayo yatakuumiza ama la... Sasa kwenda kinyume chake ni kwamba tayari wewe unaisaliti Taasisi na adhabu zake huwa zipo kwenye katiba ya taasisi husika.Demokrasia gani unayo refer hapa, kuwanyima haki ya kuwakilisha wananchi pia kuingilia Demokrasia. Mnamdhalilisha mjumbe wa kamati kuu kirahisi hivi.Halima Mdee ni icon ndani ya chadema but you guys are failing to show some bits of respect to her and cos. Yaani chadema mmeamua kumdhalilisha kwa kuwa ni mwanamke na mnasahau kuwa kuna jambo lake ndani ya chadema na mafanikio. Kuna ubaya gani kusubiri maamuzi ya kikao halali?? Vijana wa chadema mnakosa uvumilivu na nidhamu.Vyao vya Halima Mdee ndani ya chadema vinawafanya muwe na adabu kwako. Come on!!!!!@
Wewe unaijua katiba ya Chadema kumzidi Halima James Mdee?!
Najaribu kuwaza... Inamaana Ndugai achague viongozi wote na hao viongozi wakubali kuchaguliwa tena bila uongozi wao kujua.Hao wabunge haijachagua CHADEMA, hao ni wabunge wa Ndugai
Akili yako ndugu ni changamoto,kwa hyo unataka kuaminisha kwa mfano jaji hawezi kuvunja sheria za mahakama kwa sababu anakalia mavitabu ya sheria mahakamani?Wewe unaijua katiba ya Chadema kumzidi Halima James Mdee?!
Kwa sababu Chama hakijatoa uongozi...Viongozi wa Bawacha wamejipendelea....
KimaWewe unaijua katiba ya Chadema kumzidi Halima James Mdee?!
Huyo atakuwa siyo jaji!Akili yako ndugu ni changamoto,kwa hyo unataka kuaminisha kwa mfano jaji hawezi kuvunja sheria za mahakama kwa sababu anakalia mavitabu ya sheria mahakamani?
Ukiwafukuza wanatangaza mgogoro ndani ya chama.Hawa watumwa wa kike wameuzwa Bungeni kwa njia haramu za kishetani kesho ijumaa wafukuzwe wote na endapo chadema haitawafukuza itambue kuwa inaenda kufariki moja kwa moja na kuwa kama TLP NCCR na CUF ya Lipumba
Wivu tu.Hakuna jipya sana ingawa sounds nasty, haipendezi kabisa...Kama hii hapa
1. Mlipaji Mkuu wa serikali... Mtoto wa dada
2. Contractor Mayanga... mme wa mdogo wangu (shemeji)
3. Mkuu wa serikali... Rais
4. Mkuu wa hazina.... Mtoto wa dada
Pale Ufipa hakuna wa kumgusa Halima James Mdee labda angekuwepo Lowassa!Ukiwafukuza wanatangaza mgogoro ndani ya chama.
Litakalofuata Bawacha watafanya mapinduzi ndani ya chama kufukuza na kuteuwa makamanda wapya.
Chadema asilia wataenda kwa msajiri wa vyama wataambulia patupu.
Mwisho mahakama itaamua Chadema ya Mdee ndio mwenye chama.
Tumeyaona haya kwa NCCR,TLP,CUF.
Kwa sasa Chadema wanatakiwa kuwa wapole "wasiwaguse au kuwasogelea hao Bawacha"vinginevyo ........
Still ni wabunge no matter wanatoka kwa naniHao wabunge haijachagua CHADEMA, hao ni wabunge wa Ndugai