Kumbe Menejimenti Team yote ya BAWACHA wamepata Ubunge wa Viti Maalumu

Mbowe akikaa na hao viongozi 19 wabunge wateule ambao wote ni wajumbe wa CC na kufanya maamuzi hicho ni kikao halali!
Hata asipokuwepo Katibu Mkuu?Je,walikutania wapi,lini na wajumbe waliohudhuria.Sheria za Uchaguzi zilizingatiwa?
 
Ni kweli na unaamini CCM ni wehu? Haya wanatuchezesha chakacha mchana kweupe Mjini Posta . Tukiwaheshimu tutajua jinsi ya kuwa kabili na silaha za kisiasa zinazo stahiki.

Kesho tuta jaribu kuponya makovu tuliochiwa baada ya uchaguzi 2020, katika kutaka kuponya hayo makovu tusipo kuwa waangalifu Chama tutakiumiza zaidi.

Na Chadema ikidhoofika ni faida kwa CCM.
 
Ulitaka wapeleke jina la nani? Joyce Mukya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…