Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu za kusababisha mfumuko wa bei ni nyingi sana. Kuexport ni moja wapo tu.Kwahiyo mkuu na kupanda kwa bei ya bidhaa za chuma kama nondo inamaanisha kuwa kwa sasa tunaexport chuma kwa bei ya juu sana au?
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Sasa hivi,bei ya nyama imepanda mno sababu ya kuruhusu exportation,na pia wafugaji kuzidi kuuzia viwanda.Je,ni watanzania wangapi wameshafungua mabucha hadi sasa?wanapata wapi mtaji huo wakati hakuna juhudi zozote za serikali kuingiza fedha mtaani kama huo mfano wa U.S uliotoa hapo juu?Hao wachache wanaofaidika upandaji wa bidhaa wanasaidia vipi uchumi ikiwa the rest walio wengi wanaathirika uchumi wao kwa huo mfumuko?Mwananchi ambaye kipato chake hakikui anafaidika vipi na mfumuko zaidi ya kuathirika,can you explain a little bit please?!🙏Mfano, bei ya samaki wanaovuliwa ikiongezeka basi ujue wengi zaidi wataanza kuvua, na wale waliokuwa wanavua watawekeza zaidi. Bei ya ufuta au mbaazi ikiwa juu basi fahamu kuwa wengi watalima na kujiajiri kwenye hiyo sekta.
Unafikiri kwanini watu wanaacha kulima kahawa, ni ajira ngapi zimepotea? Ni kwa sababu bei haipandi kabisa. Unafikiri wangapi wamekimbia kulima mahindi sababu ya bei ndogo? Nafikiri wewe ndiyo unatakiwa kutumia common sense.
Nyama ikipanda bei wafugaji wanafaidika sana. Na uchumi wa maeneo ya wafugaji utakua. Wataanza kujenga na watu watapata ajira nk. Na hata wale ambao hawakuwaza kufuga watafikiria kufuga.Sasa hivi,bei ya nyama imepanda mno sababu ya kuruhusu exportation,na pia wafugaji kuzidi kuuzia viwanda.Je,ni watanzania wangapi wameshafungua mabucha hadi sasa?wanapata wapi mtaji huo wakati hakuna juhudi zozote za serikali kuingiza fedha mtaani kama huo mfano wa U.S uliotoa hapo juu?Hao wachache wanaofaidika upandaji wa bidhaa wanasaidia vipi uchumi ikiwa the rest walio wengi wanaathirika uchumi wao kwa huo mfumuko?Mwananchi ambaye kipato chake hakikui anafaidika vipi na mfumuko zaidi ya kuathirika,can you explain a little bit please?!🙏
Sense talk,,safi saanaHivyo ndivyo tulivyoaminishwa. Lakini hizo hizo nchi tajiri uchumi wao ukidorora huwa wanaweka pesa kibao mtaani na kushusha riba. Kushusha riba na kuongeza money supply ni njia za kuongeza mfumuko wa bei.
Kama kutakua na mfumuko wa Bei maana yake hata hayo mahindi kuyakuza itakua ni Gharama kubwa sana, Mfano Bei za mbolea Nazo zitapanda, Pembejeo na Vifaa vya kilimo navyo vitakua havishikikiHufungua pia milango ya ajira. Mfano hapa kwetu, bei ya mazao ya chakula kama mahindi ikipanda watu wengi wanaweza kukimbilia kilimo na kujikwamua kutoka hali ya chini.
Pia utambue Mfumuko wa Bei ni Upandaji Bei wa Jumla kiholela wa Bidhaa ndani ya nchi, lakini Demand and Supply inatokea Kwa baadhi ya Commodities na mara nyingi inasabishwa na Scarcity.Hufungua pia milango ya ajira. Mfano hapa kwetu, bei ya mazao ya chakula kama mahindi ikipanda watu wengi wanaweza kukimbilia kilimo na kujikwamua kutoka hali ya chini.
vikipanda hadi kwa asilimia 40 hakuna shida yoyote kwenye uchumi. Na vikipanda hadi asilimia 20 vinachochea ukuaji wa uchumi. vikizidi 40 percent ndiyo huleta shida kwenye uchumi.Kama kutakua na mfumuko wa Bei maana yake hata hayo mahindi kuyakuza itakua ni Gharama kubwa sana, Mfano Bei za mbolea Nazo zitapanda, Pembejeo na Vifaa vya kilimo navyo vitakua havishikiki
mfumuko wa bei(inflation) si upandaji holela wa bei. shida ipo kwenye hyperinflation. Huwezi kutenganisha ishu ya demand and supply na inflation.Pia utambue Mfumuko wa Bei ni Upandaji Bei wa Jumla kiholela wa Bidhaa ndani ya nchi, lakini Demand and Supply inatokea Kwa baadhi ya Commodities na mara nyingi inasabishwa na Scarcity.
Kwa hiyo Mfano Leo kukiwa na Uhaba wa Mahindi automatically Bei zitakua juu kwasababu ya Uhaba huo, Kwa hiyo Mtu anaweza kujipatia fursa hiyo ya Bei juu ya mahindi akaenda kununua bidhaa nyingine Mfano maji Kwa Bei Ile Ile ya mwanzo Rahisi, kama vitu vyote vitapanda Bei kutakua hakuna Opportunity yoyote
More theoritical than practical.Nyama ikipanda bei wafugaji wanafaidika sana. Na uchumi wa maeneo ya wafugaji utakua. Wataanza kujenga na watu watapata ajira nk. Na hata wale ambao hawakuwaza kufuga watafikiria kufuga.
Na hata yule mwananchi mwenye kipato kisichokua anaweza kufaida na kuchangamka kwa uchumi kutokanako na inflation.
Aliyeandika hicho kitabu ni zuzu. Na anayeamini hicho kitabu kama ww pia ni zuzu. Na anayesapoti idea yako naye ni zuzu. Nchi imejaa mazuzuz tupu pamoja na wanasiasa wetu Tz. Poleni sana.Siku zote nimekuwa naamini kuwa mfumuko wa bei ni kitu kibaya hadi juzi kati nilipoona kinyume chake kwenye kitabu kimoja. Kabrasha hilo linasema kuwa mfumuko wa bei hadi wa 20 percent unasaidia kukuza uchumi.
Huu unasaidia kutengeneza ajira na kuchangamsha shughuli za kiuchumi. Linaendelea kudai kuwa mfumuko hadi wa 40% hauna athari zozote mbaya kwenye uchumi. Ila Aidi ya hapo ndipo kunakuwa na hyperflation ambao ni sumu kwa uchumi.
Muandishi anashauri kuwa nchi maskini zinatakiwa kumantain mfumuko wa bei hadi wa 20% ili kukuza uchumi wao. Anatoa ni mifano wa nchi ambazo ziliona ukuaji mkubwa wa uchumi wakati zina mfumuko mkubwa na jinsi ukuaji ulivyoshuka baada ya kudhibiti mfumuko.
Hii ni tofauti kabisa na IMF wanavyozilazimisha nchi maskini kuwa na mfumuko wa bei wa single digit. Unakuta hadi serikali zinajisifu kuwa mfumuko wa bei ni 5%, au 4%.
Anasema kuwa watu pekee ambao huathirika na mfumuko wa bei wa hadi 40% ni watu ambao wana kipato fixed kama waajiriwa, lakini anasema kuwa hata nao wanaweza kufaidika kwa ukuaji wa uchumi.
Kumbe mfumuko wa bei ni kitu kizuri!
Yeah! Wataalam wa uchumi wanaonelea kwamba, mfumuko wa bei usiozidi 5% una afya kwa uchumi.Kumbe mfumuko wa bei ni kitu kizuri!