Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Yule mwanaume anayefanya naye kipindi yuko smart kweli sijui huwa amwambii mwenzake

Naam, Deo yuko smart sana na napenda swaga zake hadi utangazaji.
 
Haya basi kila la kheri ila ile sura ya Lotus....
Mhhhhh Mungu anisamehe tu.

Sio sura tu nifah hata matendo ya kile kiumbe yanaacha mashaka mengi hua namuona kama ni mwezi mchanga
 
Last edited by a moderator:
Sio sura tu nifah hata matendo ya kile kiumbe yanaacha mashaka mengi hua namuona kama ni mwezi mchanga

Kaka mshana..hao mabinti wako watatu marafiki akili zao zinafanana cjui ndio kuishi ulaya..mmoja kazaa na mwanahiphop..naona huyu naye anafuata nyayo...majirani zangu
 
Last edited by a moderator:
Sawaaa ila kwa sura yke lotus inabidi uvute hisia uko n beyonce ndio bao litakuja plus ndimu n pilipili nyingi kuongeza ladha y mechi

Ila anajua kula denda balaa, alikuwa haoni tabu kulana denda big brother
 
Lotus alimzaba kibao cha kelebu Luclay wa Afrika Kusini BBA kwa kuambiwa tu ameshindwa kujua sarafu wanayotumia A. Kusini (rand) katika quiz. Sasa sijui...
 


Kuna tetesi kuwa wakati roma anapiga mzingo hisia alikuwa anazifuta kupitia hii sura ya huyu demu! hahahaha du roma kaingia cha kike!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…