Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Haya basi kila la kheri ila ile sura ya Lotus....
Mhhhhh Mungu anisamehe tu.

Sio sura tu nifah hata matendo ya kile kiumbe yanaacha mashaka mengi hua namuona kama ni mwezi mchanga
 
Last edited by a moderator:
Sio sura tu nifah hata matendo ya kile kiumbe yanaacha mashaka mengi hua namuona kama ni mwezi mchanga

Kaka mshana..hao mabinti wako watatu marafiki akili zao zinafanana cjui ndio kuishi ulaya..mmoja kazaa na mwanahiphop..naona huyu naye anafuata nyayo...majirani zangu
 
Last edited by a moderator:
Lotus alimzaba kibao cha kelebu Luclay wa Afrika Kusini BBA kwa kuambiwa tu ameshindwa kujua sarafu wanayotumia A. Kusini (rand) katika quiz. Sasa sijui...
 
6c27c97aaa2011e3985e12296a8f661d_8.jpg

Kuna tetesi kuwa wakati roma anapiga mzingo hisia alikuwa anazifuta kupitia hii sura ya huyu demu! hahahaha du roma kaingia cha kike!!
 
Back
Top Bottom