Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Lotus ni mbaya jamanii sijui nyege alizipatajeee loo halaf kinachomuongozea azid kuwa mbaya ni style ya nywele ,anavyovaa sijawahi kumuona hata siku moja kapendeza jamanii
 
Deo huwa anapendeza kashajijulia mavazi yanayo mtoa, ngoma kwa Lotus sasa ajitahidi kuvaa kunakoendana naye na maudhui ya kipindi cha fashooooni.

Yaan huyu Lotus na sauda mwilima kwenye kuvaa aiseee ni 0
 
Lotus ni mbaya jamanii sijui nyege alizipatajeee loo halaf kinachomuongozea azid kuwa mbaya ni style ya nywele ,anavyovaa sijawahi kumuona hata siku moja kapendeza jamanii

Hahahahaaaa acha tu.Tukisema ooh sisi wabaya!
 
6c27c97aaa2011e3985e12296a8f661d_8.jpg

Kuna tetesi kuwa wakati roma anapiga mzingo hisia alikuwa anazifuta kupitia hii sura ya huyu demu! hahahaha du roma kaingia cha kike!!

Kako njema
 
Hahahahaaaa acha tu.Tukisema ooh sisi wabaya!

Mimi ni mbaya ila sijamfikia lotus aisee alifaa aolewe na mzungu
Ila anatangaza vizuriii tatizo hayo makorokoro yake ,mi mpaka hua najiuliza huyu ni mtz kwelii au mjamaica
 
Mimi ni mbaya ila sijamfikia lotus aisee alifaa aolewe na mzungu
Ila anatangaza vizuriii tatizo hayo makorokoro yake ,mi mpaka hua najiuliza huyu ni mtz kwelii au mjamaica

Hahahahaaa nakosa hata la kusema maana hua nikimuangalia hadi nasisimka!
 
Mimi ni mbaya ila sijamfikia lotus aisee alifaa aolewe na mzungu
Ila anatangaza vizuriii tatizo hayo makorokoro yake ,mi mpaka hua najiuliza huyu ni mtz kwelii au mjamaica

Ana sauti tamu ya kutangaza, angekuwa anatangaza redioni angefit zaid, mijibaba tungepagawa sana. Ila kwenye tv anakata stimu na libangili lake puani
 
Ninjaa.. Mbona NanciE yuko bomba, kuliko huyu mdada Lotus? Aaaaaaggggggrrr yaani unaacha kiepe unafakamia Makande...
 
LOTUS KYAMBA kathibitisha kupitia kipindi chake cha Nirvana kwamba mimba aliyonayo msababishaji ni mwanahiphop Roma Mkatoliki na anampenda sana. Big up Roma kwa kutarajia kuongeza kiumbe kingine, but vipi kuhusu yule bibie uliyekuwa unamrusha sana fb umempiga chini au?

View attachment 247704

ila tuache masiharA huyu binti mbaya aisee sijui akilamba ndimu anakuaje!?
 
ila tuache masiharA huyu binti mbaya aisee sijui akilamba ndimu anakuaje!?

Huo ndio ukweli.Ila angeacha huo uchizi wake na akajiweka kama msichana ingekua afadhali ukizingatia ana weusi mzuri na fashion anazijua.
 
Back
Top Bottom