Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

jamaniiii tusijerogwa kutumia madawa kumbe matibabu ni hayo kila siku ni kuchomwa Tu sindanoo au ni kumeza dawa??

Sijui mimi nasikiaga dose tu.Hata sielewi ila ni kila siku maana Ray C anaendaga kila siku huko mwananyamala.
Mimi sijui watu wana wazimu gani kwakweli! Hadi mtu anatumia madawa ilhali anaona watu wanavyoteseka, inashangaza sana.
 
jamaniiii tusijerogwa kutumia madawa kumbe matibabu ni hayo kila siku ni kuchomwa Tu sindanoo au ni kumeza dawa??

Ray c hajawah acha tumia madawa ya kulevya, aliudanganya ulimwengu, na analia kama teja.
 
et Hua wanasema ndivyo walivyo wanadeka et wanahitaj kuhudumiwa vizurii,
Kama hajaacha anajiumiza mwenyewe
 
Jamani mbona anaonekana yupo devoted?

Ni vigumu sana kuacha ile makitu kama hujaamua ingia ktk serious commitments. Mara kibao amekua akijinadi ktk mitandao kua hana muda na mahusiano.

At lonely hrs wafikiri what was the companion,. ? Kujidunga tu.
 
yaan mi madawa nayaona kwenye tv Tu ,sitak hata kuyaona live

Unachotakiwa fanya ni kumshukuru MUNGU kama bf wako hatumii.,na omba asije jaribu.

Coz mabint wengi huingia huko kwa influence ya watu wao.
 
Ni vigumu sana kuacha ile makitu kama hujaamua ingia ktk serious commitments. Mara kibao amekua akijinadi ktk mitandao kua hana muda na mahusiano.

At lonely hrs wafikiri what was the companion,. ? Kujidunga tu.

kwa hiyo akiwa na mahusiano ndio atakua kaachaaaa
 
yaan mi madawa nayaona kwenye tv Tu ,sitak hata kuyaona live

nshayaona sana tu mama angu mzazi maana kitaani kwetu kino jirani yetu muuzaji

mi mpk bangi nilinusurika kuvuta kidoogo tu!
mana siku tuliyopanga tukavute mda wa kwenda kufundishwa dingi akaniita
wenzangu wakasubiri wakaona nachelewa wakaenda peke yao...
nikanusurika...

ukikaa m/mala,kino vtu vya kawaida sana hvyooo
 
Bangi haina shida madame
 
Teh make mambo anayoyafanya mweh sio yule kiuno bila mfupa nnaemjua, nlikuaga namkubali hadi radio cassete ya mapenzi yangu nlikua nayo
ray c yule harudi tenaaa....!!
bora ule msuba unajua utasurvive.km jide
ila powda nomaaa...
 
Back
Top Bottom