Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Bangi haina shida madame
hhhaaahhhaa kweli si unaona sir nature yuko poa.
mh.tembaa fit tupu..
ila powda nomaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi haina shida madame
There alot to get and benefit frm serious relationship., like kubadilishana tabia,raising a family etc.
Hata hvyo huo ni mfano tu., serious commitments zipo nyingi only not to get bored/lonely.
Poda inafanya mtu awe kama ana ngoma hivi ushamuona daz baba duh waweza sema r.i.p wakati mtu yupo hai, chidi vits nae madawa ni shidahhhaaahhhaa kweli si unaona sir nature yuko poa.
mh.tembaa fit tupu..
ila powda nomaaa
hhhaaahhhaa kweli si unaona sir nature yuko poa.
mh.tembaa fit tupu..
ila powda nomaaa
Mi nmemuona kama taahira vile, bora hata angemuomba mtu amrekodi ha ha hakujirekod huku unalia ni kipajii aiseeeeee
Poda inafanya mtu awe kama ana ngoma hivi ushamuona daz baba duh waweza sema r.i.p wakati mtu yupo hai, chidi vits nae madawa ni shida
Akina TID, Q CHIEF, GK. Wote wanajidunga wale. They'll never b the same again.
Kama bado anakula duh atarudisha jezi kwa muumba sasa make kipindi kile alinusurikayani mapoda sio kabisa kuna dogo la kihindi kitaa lilikua bright kichizi ila kaanza maunga hayo
mbona yuko sober house kigamboni..!
tid,chillah vipaji vinaondoka vile kwa miunga daah...
sad.
nshaskiag rayc bado anakula yule kuna sehemu hua anaenda kuchukua!
Kama bado anakula duh atarudisha jezi kwa muumba sasa make kipindi kile alinusurika
we muache watu wapige helaa..!kwny msiba
hhhhhaaahhhhhaahhaaha ha haaaaa afu kweli..cc Steve Ny...
kujirekod huku unalia ni kipajii aiseeeeee
Poda inafanya mtu awe kama ana ngoma hivi ushamuona daz baba duh waweza sema r.i.p wakati mtu yupo hai, chidi vits nae madawa ni shida
Ni mzima ila poda imembadilisha sana ile sijui inakondesha hadi mifupa make chidy alikuwa na bichwa kubwa sahivi kichwa kimekua kidogo kama kitenesi....big transformation from chidy benzi to chidy vits lolHahaaaa chidy mzima nlipewa story siku y hukumu yke police walikua wanamsubiria wampe case ingine......unaambiwa ile kutoka 2 nje alitoka nduki mpka police wakabaki wanacheka
Ni mzima ila poda imembadilisha sana ile sijui inakondesha hadi mifupa make chidy alikuwa na bichwa kubwa sahivi kichwa kimekua kidogo kama kitenesi....big transformation from chidy benzi to chidy vits lol
Yani kma namwona anavyotoka speed mana unaambiwa ilikua balaa police wakabaki wanacheka tu.......acha wavute tu wapunguze idadi ya wa2 wasiokua na kazi
Ni mzima ila poda imembadilisha sana ile sijui inakondesha hadi mifupa make chidy alikuwa na bichwa kubwa sahivi kichwa kimekua kidogo kama kitenesi....big transformation from chidy benzi to chidy vits lol
alikua anakimbia kwenda wapi?
C alilipa faini mahakama ikamwachia huru sasa police wakataka wampe case ingine ndio wa2 wakamstua......baada 2 y kutoka nje y mlango wa mahakama akatoka nduki balaaa kusudi asikamatwe tena
Af na mie enzi za ujana wangu nlikuaga na ndoto za kuja kuuza ili niwe na hela hahahaduuu madawa hayawez ishaa,wakubwa ndio wanayasambazaa