Ms.Lincoln Shoga angu naona leo upo katika ubora wako looohhh... Alafu wale watoto wa zari si wanaishi na baba yao ivani au?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu bwana wanasema sana then hawana uhakika...... wanataka wajue mimba ya nani ili iweje? watamsaidia kulea au?
IIla watu wanakera sana, Diamond kaza buti na ongeza love kwa yule umpendae maneno hayaondoi uhai wa mtu. Alisemwa mama yako kabla hajawa na uhusiano na mama yako kuwa hawaendani na baba yako. Walipoishi pamoja wakasema amempa limbwata. Alipobeba mimba yako wakasema mimba haijamkaa vizuri na wala sio ya mume wake (mzee abdul).
Ulipozaliwa wakasema hujafanaa na baba yako. Ulivozidi kukua ukafanana na baba yako wakasema hutakua lazima mama yako akutoe kafara. Ulipokuwa mtu mzima wakasema hutafanikiwa utakuwa maskini. Ulipofanikiwa wakasema utafulia. Ulipompata Wema wakasema unatembelea nyota ya Wema.
Mmeachana wanasema bila Wema huishi, walipoona hujapata mtoto wakasema huna mbegu za uzazi. Sasa ukampata Zari wakasema umefata pesa na anakubemenda na hutapata mtoto. Amepata mimba wanasema sio yako.
Akizaliwa anafanana na wewe watasema ngoja tuone kama watadumu na Zari na bado watasema; watasema, watasema tu hata ukimpata mwingine watasema tu, so akili kichwani kwako. Usithubutu kufata maneno ya watu, ishi the way unataka, i'm done...
Mkuu...unajua watu wakiwa obsesed na mafanikio ya Dimondo wanapata shida sana.....Na bado
Ila dogo anakula vitu vitamu sana
Mtoto wa kiganda yule...lazima katererooo inatiki...mtoto mlainiiiiiiiii kama haendi chooni vile.....
Lazima watu waone wivu.....wengine wana vimiguu miwaaaaa...na mafurushi ya matko ya kichina.....
Sasa mkuu...suala la mimba ni personal sana...inashangaza eti michirizi aliona mbegu za mtu fulani zikiingia kwa zari
Huu ujinga na upuuzi wa hali ya juu
Shoga angu naona leo upo katika ubora wako looohhh... Alafu wale watoto wa zari si wanaishi na baba yao ivani au?
Ila nasikia DNA ilishapimwa mtoto ni wa kike ni kweli? Mtani huyu mtoto wa taifa...lazima tumwongelee.
Hahaha mwanamke una mambo wewe!Heheheeeeheeeeeeree jamani mimi natamani iwe ya Chibu tuu
hiyo ni laana ya wema, mpaka amrudie ndio ataitwa baba