Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Ms.Lincoln Shoga angu naona leo upo katika ubora wako looohhh... Alafu wale watoto wa zari si wanaishi na baba yao ivani au?
 
Last edited by a moderator:
watu bwana wanasema sana then hawana uhakika...... wanataka wajue mimba ya nani ili iweje? watamsaidia kulea au?
 
Ila watu wanakera sana, Diamond kaza buti na ongeza love kwa yule umpendae maneno hayaondoi uhai wa mtu. Alisemwa mama yako kabla hajawa na uhusiano na mama yako kuwa hawaendani na baba yako. Walipoishi pamoja wakasema amempa limbwata. Alipobeba mimba yako wakasema mimba haijamkaa vizuri na wala sio ya mume wake (mzee abdul).

Ulipozaliwa wakasema hujafanaa na baba yako. Ulivozidi kukua ukafanana na baba yako wakasema hutakua lazima mama yako akutoe kafara. Ulipokuwa mtu mzima wakasema hutafanikiwa utakuwa maskini. Ulipofanikiwa wakasema utafulia. Ulipompata Wema wakasema unatembelea nyota ya Wema.

Mmeachana wanasema bila Wema huishi, walipoona hujapata mtoto wakasema huna mbegu za uzazi. Sasa ukampata Zari wakasema umefata pesa na anakubemenda na hutapata mtoto. Amepata mimba wanasema sio yako.

Akizaliwa anafanana na wewe watasema ngoja tuone kama watadumu na Zari na bado watasema; watasema, watasema tu hata ukimpata mwingine watasema tu, so akili kichwani kwako. Usithubutu kufata maneno ya watu, ishi the way unataka, i'm done...
 
IIla watu wanakera sana, Diamond kaza buti na ongeza love kwa yule umpendae maneno hayaondoi uhai wa mtu. Alisemwa mama yako kabla hajawa na uhusiano na mama yako kuwa hawaendani na baba yako. Walipoishi pamoja wakasema amempa limbwata. Alipobeba mimba yako wakasema mimba haijamkaa vizuri na wala sio ya mume wake (mzee abdul).

Ulipozaliwa wakasema hujafanaa na baba yako. Ulivozidi kukua ukafanana na baba yako wakasema hutakua lazima mama yako akutoe kafara. Ulipokuwa mtu mzima wakasema hutafanikiwa utakuwa maskini. Ulipofanikiwa wakasema utafulia. Ulipompata Wema wakasema unatembelea nyota ya Wema.

Mmeachana wanasema bila Wema huishi, walipoona hujapata mtoto wakasema huna mbegu za uzazi. Sasa ukampata Zari wakasema umefata pesa na anakubemenda na hutapata mtoto. Amepata mimba wanasema sio yako.

Akizaliwa anafanana na wewe watasema ngoja tuone kama watadumu na Zari na bado watasema; watasema, watasema tu hata ukimpata mwingine watasema tu, so akili kichwani kwako. Usithubutu kufata maneno ya watu, ishi the way unataka, i'm done...

Best Kimbley mdau katoa hoja hapa
 
Kimbley Ila nasikia DNA ilishapimwa mtoto ni wa kike ni kweli? Mtani huyu mtoto wa taifa...lazima tumwongelee.
 
Last edited by a moderator:
Kimbley Teh teh teh! Mtani bwana.Ivi kwanini mimba ya mama yenu ikitajwa mnakasirishwa na kughafirika sana....je ni kweli alilala na Katunzi pale double tree?

Umbeya huu...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu...unajua watu wakiwa obsesed na mafanikio ya Dimondo wanapata shida sana.....Na bado

Ila dogo anakula vitu vitamu sana

Mtoto wa kiganda yule...lazima katererooo inatiki...mtoto mlainiiiiiiiii kama haendi chooni vile.....

Lazima watu waone wivu.....wengine wana vimiguu miwaaaaa...na mafurushi ya matko ya kichina.....

Sasa mkuu...suala la mimba ni personal sana...inashangaza eti michirizi aliona mbegu za mtu fulani zikiingia kwa zari

Huu ujinga na upuuzi wa hali ya juu

ahahahahahha!!na bahati mbaya mtoto akizaliwa hatuwaonyeshi,naona mama ubaya atakufa na kihoro mwaka huu
 
Shoga angu naona leo upo katika ubora wako looohhh... Alafu wale watoto wa zari si wanaishi na baba yao ivani au?

Wale watoto wengine naona wapo kwenye academy manchester, mwingine hata sielewi labda south kwa baba yake.
Ila Zarina kiboko sio kujichokonoa kule na dildo je angeharibu kizazi je?
 
remosa Mkuu umetisha!!!khaaa!asiyekuelewa kwa haya uliyosema basi hawakuelewi tena!.
 
Last edited by a moderator:
Kimbley Sasa mtani mumfiche mtoto wakati kutwa kupost process nzima za ukuaji na urutubishwaji wake! Zarina alipost mtumbo wake kwani ilikua inatuhuuu... Msifanye ivo. Ila nasikia Muzamir katunzi ana damu kareee mwombe Mungu isiwe kweli.
 
Last edited by a moderator:
Huyo Aivan si ndio alisema Zar hawez kuzaa kwasasa?
 
Back
Top Bottom