Kumbe miongoni mwa waliokamatwa na madawa ya kulevya ni mumewe Sanchoka/Suraiya!

Kumbe miongoni mwa waliokamatwa na madawa ya kulevya ni mumewe Sanchoka/Suraiya!

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,150
Reaction score
3,225
Wakuu, mnakumbuka ile pisi kali nene, ina umbo zuri alilorithishwa na mama yake, slay queen wa Instagram bibi Sanchi ama Sanchoka?

Basi bibie huyu kumbe alibadili dini baada ya kuolewa na Alhaj mmoja ambaye alimbadilisha dini na kumkomesha tabia ya kuvaa nusu uchi. Bi Sanchi ambaye siku hizi anaitwa Suraiya aliolewa mke wa tatu na tajiri huyo na kubadilishiwa maisha kumbe salaale, hela hizo ni haram za heroin loh!

Tayari Sanchi ana mimba na hajulikani alipo. Inasemekana wake wenzake wamejificha wakihofia kukamatwa na mume wao kama ilivyokuwa kwa 8020 Fashion mumewe alipokutwa na ngada.

Jamani msione matajiri mitandaoni mkaumiza moyo, hela zao ndiyo hizi. Yaani watoto wa kike tulieni, mtapata waume zenu mtafute nao taratibu kutoka mwanzo. Tumia Tz 11 zako mpaka Mungu atakavyokuletea zali kama la Majaliwa. Tamaa na haya magumegume ya mjini wacheni kabisa.

Ila mama yake sanchi naye mashalaah, inaonekana alipenda saana mkwewe, lakini ndiyo hivyo kamishna kampenda zaidi.

Haya Sanchoka na shepu lake ndiyo kashapigwa chini, kavimba juu, na sasa hivi mawazuuu.

emoji112]
 
Hakuna picha ya Sanchoka, hakuna picha ya mama yake, hakuna picha ya mume Tajiri, hakuna picha ya wake zake wengine waliokimbia sasa uzi wako una faida gani sasa. Basi weka hata picha ya Unga uliokamatwa nayo hamna dah! Weka hata picha basi ya kocha wa makipa basi
 
Amekosa vyote, angetuwekea hata picha ya Shujaa Majaliwa basi!
 
Hakuna picha ya Sanchoka, hakuna picha ya mama yake, hakuna picha ya mume Tajiri, hakuna picha ya wake zake wengine waliokimbia sasa uzi wako una faida gani sasa. Basi weka hata picha ya Unga uliokamatwa nayo hamna dah! Weka hata picha basi ya kocha wa makipa basi
Nielekeze nawekaje picha, naharibu nashindwa
 
Hii apa
sanchiwold-20221117-0001.jpg
 
Back
Top Bottom