Kumbe miongoni mwa waliokamatwa na madawa ya kulevya ni mumewe Sanchoka/Suraiya!

Wewe ni ME au ni KE?
Just asking.
 
Bakiza maneno mkuu!!muda sio mrefu utawasikia wapo nje!!kama huyo boss wa cambiaso sports academy alikamatwa kipindi cha jpm,tena ndio ilikuwa ikijulikana system ilikuwa makini,kidogo lakini alitoka sembuse kipindi hiki mkuu?!!
 
Wenye si upo😄
 
Hivi na yule 8020 fashion waliachiwa au bado wapo ndani?? maana nao nakumbuka harusi yao kipindi kile cha JK ilikua gumzo la mujini...Ngada inalipa I see ila mwisho wake sasa ndio majutrooo.
 
We bongo Kuna vituko Sana, Hawa maselebriti wetu[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa yule Nicole nae anasema anamiliki mabilion, Kwa Kaz zipi???
Duh,wana mbwembwe sana hawa
Mly tu

Ova
 
Haha
 
Jamaa ndy alioufata,lzm alikuwa anmla [emoji872] [emoji3166]

Ova
Ataachaje. Namjua yule pimbi.
Ana maringo sana. Nammaindi sana. Wakati yupo Netherlands kuna dili aliiwekea kikwazo kwa kutaka kusujudiwa. Anajisikia sana yule pimbi.
Kitambo nilikua nahisi anauza ngada.
Sema nilifurahi alipodakwa japo najua ataachiwa
 
au angejiweka hata yeye aki-type
 
 

Attachments

  • DD8CF0F8-97A5-49DF-8C3D-FA38962B8567.jpeg
    12.7 KB · Views: 29
  • 52606A5E-EA74-4C97-959D-826187D9DF64.jpeg
    9.1 KB · Views: 29
  • 5205E5E8-B7FF-4697-A821-BC747BCBB2C7.jpeg
    7.4 KB · Views: 27
  • 15F6812B-5267-497A-955E-295978C31BD2.jpeg
    7.5 KB · Views: 28
  • B26CEAF9-0A12-4493-B47F-58F755ED96D8.jpeg
    33.6 KB · Views: 36
  • 8CF208C0-85BF-4F83-8F64-8B5D9EA5D2BF.jpeg
    36.4 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…