Wapo wanaendelea kutumikia adhabu mkuuHivi na yule 8020 fashion waliachiwa au bado wapo ndani?? maana nao nakumbuka harusi yao kipindi kile cha JK ilikua gumzo la mujini...Ngada inalipa I see ila mwisho wake sasa ndio majutrooo.
Duuh kumbe SanchiWorld ndio alikuwa kaolewa na Alhaji?
KWA JINA HILO, NA MAUMBILE YALE. MAPENZI YA NYUMA YA NYUMBA YANAHUSIKA SANA.
HONGERA ZAO
Jamaa ndy alioufata,lzm alikuwa anmla [emoji872] [emoji3166]
Ova
Zigo hilo sasa la kuvunja chaga😍
Msambwanda wote aliuachia jamaa [emoji1]Kwa kweli matukio mengine yanatia uchungu kabisa, Mara nyingi nimefikiria kwanini namimi nisijitose kwenye ishu za sembe kwa matukio kama haya, Hivi Zigo kama Sanchoka unalifungia ndani ukiingia unalirarua, ukitaka kutoka unalirirua Dah Hatari sana. Ni ngumu sana kuwezo kufanya matukio kama hayo bila ya kuwa na dili za hatari hatari. Jamaa anatia wivu kwa kwel.
Mpambe ushaongea nani akupinge masterYule Sanchoka au Sulaiya hakufuata Pesa kwa Jamaa alifuata kupigwa dushe na kapigwa dushe na mimba kajazwa hicho ndicho alichokitaka, jichunguze mkuu
"Mujeleng" tuseme ni lugha ya kichina?Nijichunguze nini mkuu, yule kafata hela, kama ni hizo mujeleng alkua anazipata b4
Hii ni photo shoot au ni art?
Wale si walifungwa maisha?Hivi na yule 8020 fashion waliachiwa au bado wapo ndani?? maana nao nakumbuka harusi yao kipindi kile cha JK ilikua gumzo la mujini...Ngada inalipa I see ila mwisho wake sasa ndio majutrooo.
Mi mnanichanganya jamani!Wa kulima mchele na mpunga sio Sanchi alikuwa slay queen anajiita Nicolejoyberry. Sasa hivi anaigiza tamthilia ya huba
Sent using Jamii Forums mobile app
hapanaa ni watu wawili tofautiMi mnanichanganya jamani!
Hivi Nicole ndiye Sanchoka?
Mkuu ulicomment kijuvenali sana.Kwa kweli matukio mengine yanatia uchungu kabisa, Mara nyingi nimefikiria kwanini namimi nisijitose kwenye ishu za sembe kwa matukio kama haya, Hivi Zigo kama Sanchoka unalifungia ndani ukiingia unalirarua, ukitaka kutoka unalirirua Dah Hatari sana. Ni ngumu sana kuwezo kufanya matukio kama hayo bila ya kuwa na dili za hatari hatari. Jamaa anatia wivu kwa kwel.