Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Naamini huu ni ukweli... Huku mitaani hakuna mwenye Quran wala Biblia halisi.Acha nisubiri majeshi kutoka Saudi Arabia pamoja na Vatican waje kujibu
Huo ukweli umeambiwa na mtu mmoja tu kiongozi?Naamini huu ni ukweli... Huku mitaani hakuna mwenye Quran wala Biblia halisi.
Yes. Vile vya mwanzo kuandikwa ndivyo halisi... Sasa unadhani hivi tulivyonavyo majumbani mwetu ni halisi..?Unamaanisha vitabu vya kwanza kuandikwq au?
Vatican wanakubaliana na mleta Uzi.Acha nisubiri majeshi kutoka Saudi Arabia pamoja na Vatican waje kujibu
Kivip mkuu tupe maelezo tusiojua tupate kufahamuVatican wanakubaliana na mleta Uzi.
Upatikanaji wa Biblia kwa Wagalatia ulifuata mchakato wa Biblical Canon ambapo nakala za vitabu vingi zilichujwa kwa vigezo mbalimbali kwa kuzingatia maudhui makuu hadi kubakia Biblia ya sasa.Kivip mkuu tupe maelezo tusiojua tupate kufahamu
Jaribu kufanya hivyo kwa Quran kesho asubuhi kama jioni bado utakuwa na kichwa kwenye kiwiliwili chako.Kama siyo vitabu halisi kumbe kurasa zake tunaweza kufungia maandazi kama tu tunavyotumia magazeti ya kawaida?
hamis77 Kiranga Infropreneur
Mhh ya kweli hayo mkuuJaribu kufanya hivyo kwa Quran kesho asubuhi kama jioni bado utakuwa na kichwa kwenye kiwiliwili chako.
ERTUGRUL BEY adriz Kisai Covax Kuna watu huku wanataka kuijaribu sumu kwa kuonjaMhh ya kweli hayo mkuu
Sasa nyingine si ni copy sasa halisi ingewezaje kufika hadi leo bila kuharibikaYes. Vile vya mwanzo kuandikwa ndivyo halisi... Sasa unadhani hivi tulivyonavyo majumbani mwetu ni halisi..?