Mchakato wa biblia unajulikana na upo wazi,Kama siyo vitabu halisi kumbe kurasa zake tunaweza kufungia maandazi kama tu tunavyotumia magazeti ya kawaida?
hamis77 Kiranga Infropreneur
wale wa mama mdogo huwa hawakubali kuambiwa ukweli, wana ujinga mwingi akilini mwaoKwa Wagalatia hili ni jambo linalokubalika na kueleweka kabisa karne na karne, mtihani uko kwa upande wa mama mdogo wazee wa kilishushwa na wahayi.
Ni vigumu kusema kwenye kitabu cha dini yoyote kuna changamoto kwa sababu hauna cha kulinganisha nacho au kurejea tofauti na kitabu hicho. Labda ujikite kwenye contradictions, secular history na Sayansipossible maana kuna vitu vina changamoto
Yaan muuza vitumbua anyofoe kurasa za Biblia au Quran na afungie vitumbua wateja wake? Labda kwa wagalatia watasema wanamwachia Yesu atashughulika na muuzaji siku ya mwisho ila wazee wa Kobazi wanafyeka kichwa mchana kweupeee..hawanaga uvumilivu wao kwao Allah anapiganiwa,yaan dini ya Allah inatakiwa ipiganiwe kwa jasho na damu.Kama siyo vitabu halisi kumbe kurasa zake tunaweza kufungia maandazi kama tu tunavyotumia magazeti ya kawaida?
hamis77 Kiranga Infropreneur
Sasa hapa nimekosea nini ndugu mbobevu... Nilikuwa sijui ndiyo mtu Leo kaniambia.We jamaa siku hizi sijui umekuwaje,mada za dini achana nazo zinaukakasi wewe sio mbobevu
Yesu hakukuta biblia popote, tengua kauliMchakato wa biblia unajulikana na upo wazi,
Biblia ya zaman kabisa ni Septuaginta LXX hata Yesu kazikuta ,iliandikwa kwa Kigiriki kule Alexandria misri kwa wayahudi waliokuwa Misri
Agano jipya nakala zake zipo pia za awali
Na manuscripts nyingi zipo
Ni jambo ambalo kwenye Ukristo linakulikana ,na hata vitabu vya apokrifa vinajulikana kwanini waprotestant hawavikubali
Mchakato biblical canonization unajulikana na upo wazi
Shida ipo kwa Quran mchakato huo unafichwa kama Bangi, na muumini wa kawaida hatakiwi kujua , anatakiwa kuambiwa tu Quran ilishushwa kutoka juu, haijawahi kubadilika,kitu ambacho sio kweli ,mchakato wake Hadi inaandikwa hapo Al Azhar University 1924 unajulikana ,
Manuscript zake za karne ya 7 hazipo ,maana Uthman alichoma moto Quran zote,aliyobaki nayo haijulikani ipo wapi
Mungu wa Quran wa ajabu sana hana nguvu za kutetea dini yake mpaka ategemee waumini wake waitete dini, huyu ana utofauti gani na mtoto mdogo asiye na uwezo wa kujitetea zaidi ya kusubiri watu wazima wamtetee?, hizo nguvu zake, miujiza mnayofundishana misikitini hivi kiuhalisia kuna hata muujiza mmoja ashawai kuufanya?, afadhali hata ile dini ya ukristo japo nao matapeli lkn Mungu wao hatetewi na waumini kaachwa ajitetee mwenyewe japo naye hana huo uwezo lkn miujiza ya maigizo huko makanisani si mnaiona?, kuna shekhe hata mmoja anauwezo wa kutibu hata Homa kupitia utapeli wa Quran?😂.Jaribu kufanya hivyo kwa Quran kesho asubuhi kama jioni bado utakuwa na kichwa kwenye kiwiliwili chako.
Mambo ya dini hayaitaji ubobevu kuyahoji, huu upuuzi wa kusubiri fulani ndie atoe jibu yamewachelewesha waafrika kuugundua utapeli wa hizi dini, maana hao mnaowaita wataalamu wa hizi dini nao ni wahuni wanaofanya kazi ya kitepeli kuhakikisha uongo unabaki hivyo, na hata mtu akihoji anapewa majibu yasiyo na maana+ vitisho vya kitoto.We jamaa siku hizi sijui umekuwaje,mada za dini achana nazo zinaukakasi wewe sio mbobevu
Forgive me!!“He that beats a drum for the mad man to dance is no better than the mad man himself.”
hizi ulizotaja haziwezi kuitwa changamoto?Labda ujikite kwenye contradictions, secular history na Sayansi
Tukianza na historia kabisa tuchukue nakala halisi za historia na nakala za biblia kuanza kukagua mambo, tutagundua hata huyo Yesu hajawai kuwepo maana miaka 2000 iliyopita kama mnavyoaminishana alikuwepo huyo jamaa, hutopata ushahidi wowote wa kihistoria, kijiografia, kifizikia mpaka kibiolojia hakuna huo ushahidi wa uwepo wa yesu wala taifa la israel hapo Middle East zaidi zaidi ilikuwa ardhi ya koloni la wazungu walipoishi waarabu pia na si taifa la israel na wala historia za hao manabii uchwara hazipo.Mchakato wa biblia unajulikana na upo wazi,
Biblia ya zaman kabisa ni Septuaginta LXX hata Yesu kazikuta ,iliandikwa kwa Kigiriki kule Alexandria misri kwa wayahudi waliokuwa Misri
Agano jipya nakala zake zipo pia za awali
Na manuscripts nyingi zipo
Ni jambo ambalo kwenye Ukristo linakulikana ,na hata vitabu vya apokrifa vinajulikana kwanini waprotestant hawavikubali
Mchakato biblical canonization unajulikana na upo wazi
Shida ipo kwa Quran mchakato huo unafichwa kama Bangi, na muumini wa kawaida hatakiwi kujua , anatakiwa kuambiwa tu Quran ilishushwa kutoka juu, haijawahi kubadilika,kitu ambacho sio kweli ,mchakato wake Hadi inaandikwa hapo Al Azhar University 1924 unajulikana ,
Manuscript zake za karne ya 7 hazipo ,maana Uthman alichoma moto Quran zote,aliyobaki nayo haijulikani ipo wapi
kikubwa msemo wa kikwete utumike tuMambo ya dini hayaitaji ubobevu kuyahoji, huu upuuzi wa kusubiri fulani ndie atoe jibu yamewachelewesha waafrika kuugundua utapeli wa hizi dini, maana hao mnaowaita wataalamu wa hizi dini nao ni wahuni wanaofanya kazi ya kitepeli kuhakikisha uongo unabaki hivyo, na hata mtu akihoji anapewa majibu yasiyo na maana+ vitisho vya kitoto.
Hamuwezi kuwazuia watu kuhoji huu utapeli wa Quran na Biblia, hivu vitabu lazima tuvifute
Ukiachana na Quran una orodha yoyote ya vitabu vyovyote vya kihistoria ulivyosoma kuzipa nguvu hoja zako? Au nawewe ndio wale wale mnaotumia maandiko ya kitabu cha dini kutetea na kujenga hoja?.Quran ndo kitabu pekee ambacho hakijafanyiwa editing yoyote na Mungu ameahidi kukilinda mpk siku ya mwisho.
Hakutakuja kutokea mtu/watu au mtambo wala technologia yoyote itakayokuja kubadili Quran hii halisi na kuwa copy au kuharirirwa kwa namna yoyote ile.
Waulize wasomi wa elimu ya mambo ya imani watakwambia hii siri.
Mungu acha ubishiLeo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi.
Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo nakala kama ni vitu vitakatifu.
Kasema kiuhalisia nakala hizo zinatokana na vitabu halisi lakini zenyewe siyo vitabu halisi. Kasema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa na Biblia au Quran halisi.
Kazi ipo.
Source:Source?