Ukiachana na Quran una orodha yoyote ya vitabu vyovyote vya kihistoria ulivyosoma kuzipa nguvu hoja zako? Au nawewe ndio wale wale mnaotumia maandiko ya kitabu cha dini kutetea na kujenga hoja?.
Hivi kwanini nnje ya vitabu vya dini zenu, matukio na matendo ya matukio hayo hayana ushahidi wa uwepo wake? Hivi historia za manabii wenu na huyo Mungu wenu aliandikwa ktk biblia na Quran pekee?,ππ.
ukisoma historia za mafalao, falme za misri, Ethiopia, sudan, Mali na hata ulaya, china, india kote huko historia zao zina maelfu ya miaka lkn zimeandikwa ktk nakala nyingi kuprove ushahidi wa uwepo wake, je nje ya Quran kuna ushahidi wa uwepo wa Ishmael?, Musa?, huyo adamu?, au basi hata huyo Issa wa marium je?.
Amkeni mnachezewa na hizo dini
Walioandika hizo biblia walikuwa wanatoa wapi hizo Aya?Mchakato wa biblia unajulikana na upo wazi,
Biblia ya zaman kabisa ni Septuaginta LXX hata Yesu kazikuta ,iliandikwa kwa Kigiriki kule Alexandria misri kwa wayahudi waliokuwa Misri
Agano jipya nakala zake zipo pia za awali
Na manuscripts nyingi zipo
Ni jambo ambalo kwenye Ukristo linakulikana ,na hata vitabu vya apokrifa vinajulikana kwanini waprotestant hawavikubali
Mchakato biblical canonization unajulikana na upo wazi
Shida ipo kwa Quran mchakato huo unafichwa kama Bangi, na muumini wa kawaida hatakiwi kujua , anatakiwa kuambiwa tu Quran ilishushwa kutoka juu, haijawahi kubadilika,kitu ambacho sio kweli ,mchakato wake Hadi inaandikwa hapo Al Azhar University 1924 unajulikana ,
Manuscript zake za karne ya 7 hazipo ,maana Uthman alichoma moto Quran zote,aliyobaki nayo haijulikani ipo wapi
Bado kuna wapumbavu watetezi wa hizi dini watapinga, mfano biblia japo mistari yake imesema hairuhusiwi kuongeza wala kupunguza lolote lkn ndio kitabu kinachoongoza kufanyiwa mabadiriko na marekebisho ya kila aina, kuanzia kufutwa kwa baadhi ya mistari, kuongeza maneno nje ya yaliyokuwepo, kuondolewa/kufichwa kwa baadhi ya vitabu kwa maslahi ya kundi fulani, hivi kitabu cha aina hii unasemaje ni kitakatifu?.
Tukirudi kwa Quran huku ndio matatizo matupu, watu wameaminishwa ni maneno ya mitume na maneno ya Allah kumbe kuna wajanja walikaa wakachukua stories za mamilioni ya miaka kutoka kwa jamii za waafrika then wakabadiri maana, geografΓa ya maeneo na historia nzima na Kuunda hiyo vitabu vya biblia na Quran.
Ni kweli kuwa hakuna mwenye Biblia/Quran halisi maana hivyo vyote viliundwa mamia ya miaka iliyopita kutoka nakala mbalimbali, baadhi zinazofichua haya mambo zilishachomwa.
Ww ni shetani halis ushndwe na ulegee
Vitaje hivyo vya mwanzo alivyokutajia huyo muhuni halafu huyo muhuni alikua amevuta nini kabla ya kuanza kuongea na wewe na kukulisha matango ya porini ili ufe? Wewe badala ukapige story na father au Askofu unaenda kupiga story na muhuni hata theology hajui ni nini unatagemea nini?Vile vya mwanzo kuandikwa ndivyo halisi...
Yeah sure.Kama siyo vitabu halisi kumbe kurasa zake tunaweza kufungia maandazi kama tu tunavyotumia magazeti ya kawaida?
hamis77 Kiranga Infropreneur
Kwa ivo hakuna laana yoyote ile kuvitumia kama vifungashio?Yeah sure.
Biblia na Quran ni hadithi za danganya toto tu!
Vitabu hivi vinalindwa na kutetewa na wajinga tu. Lakini havina maana yoyote.
Hakuna laana yoyote.Kwa ivo hakuna laana yoyote ile kuvitumia kama vifungashio?
Aisee!!!Laana ni vitisho uchwara tu. Vitisho vya kuuzia watu uoga!
Hii inahusiana na hii mada? Quran 2:2 inasema nini?Magalatia yanaforce tufanane, you don't trust yourself.. Tatizo linaanzia hapo Quran 2:2 kitabu hakina shaka.... Nyie wagalatia hamjiamini mna dini imara Sana Ya Yesu aliwaachia kitu kilicho nyooka ila ndio watu mnaoyumbishwa kila kukicha lait mngelijiamini na Imani yenu msingefika hapa mlipo.
Wewe umesema hakuna Quran na biblia halisi, una maana Hata hizi dini sio halisi? Au una amiini dini hizi ni halisi ila vitabu ndio sio halisi?Hii inahusiana na hii mada? Quran 2:2 inasema nini?
Wewe ni mpagani?Yeah sure.
Biblia na Quran ni hadithi za danganya toto tu!
Vitabu hivi vinalindwa na kutetewa na wajinga tu. Lakini havina maana yoyote.
Afadhali umeuliza... Hakuna mahali nimezungumzia yaliyomo ndani ya hivyo vitabu... Hoja yangu kumbe vitabu tulivyo navyo majumbani mwetu ni nakala na siyo vitabu halisi.Wewe umesema hakuna Quran na biblia halisi, una maana Hata hizi dini sio halisi? Au una amiini dini hizi ni halisi ila vitabu ndio sio halisi?
Mimi ni Atheist.Wewe ni mpagani?
Ni kama vile mtu amebaini mke wake ni malaya halafu anataka atuaminishe kuwa wanawake wote ni malaya.πππLeo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi.
Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo nakala kama ni vitu vitakatifu.
Kasema kiuhalisia nakala hizo zinatokana na vitabu halisi lakini zenyewe siyo vitabu halisi. Kasema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa na Biblia au Quran halisi.
Kazi ipo.
Hapa unamaanisha nini?Ni kama vile mtu amebaini mke wake ni malaya halafu anataka atuaminishe kuwa wanawake wote ni malaya.πππ
Je unafikiri ni Sahihi kuwa na mtazamo huo? Ni kipi kimekusuma kuamini Kama haya yote uliyotaja ni fake haya exist?Mimi ni Atheist.
Siamini kwenye kuamini.
Sina imani ya aina yoyote ile ya Mungu au miungu.
Wapagani ni tofauti na Atheists.
Wapagani kwa kiingereza "pagans" ni watu ambao hawaamini Mungu wa ukristo yaani Yesu Kristo. Lakini wana imani kwa miungu yao mingine. Hawa ndio waliitwa Wapagani.
Ni sawa na waislamu wanavyoita "makafiri" kwa watu ambao hawamwamini Allah. Vivyo hivyo Wapagani ni watu wote wasio mwamini Yesu Kristo. Ila wana imani za Miungu yao mingine.
Sasa Atheists ni watu ambao hatuna imani ya aina yoyote ile ya Mungu au miungu. Hatumwamini Mungu wa aina yoyote ile.
Hatuamini Mungu, miungu, Shetani, mapepo, majini, mizimu, uchawi, uganga, ulozi au ushirikina.
Kwenye manuscript zilizopoWalioandika hizo biblia walikuwa wanatoa wapi hizo Aya?
Mjusi Sharobalo hapa atasema NDIO.Kama siyo vitabu halisi kumbe kurasa zake tunaweza kufungia maandazi kama tu tunavyotumia magazeti ya kawaida?
hamis77 Kiranga Infropreneur
Huyo Mwanazuoni wako ameupimaje uhalisi wa Biblia?Leo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi.
Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo nakala kama ni vitu vitakatifu.
Kasema kiuhalisia nakala hizo zinatokana na vitabu halisi lakini zenyewe siyo vitabu halisi. Kasema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa na Biblia au Quran halisi.
Kazi ipo.