Acha jazba Nina uwezo wa kuthibitisha Uwepo wa Yesu ,manabii, maandiko ya agano la kale kabla ya YesuTukianza na historia kabisa tuchukue nakala halisi za historia na nakala za biblia kuanza kukagua mambo, tutagundua hata huyo Yesu hajawai kuwepo maana miaka 2000 iliyopita kama mnavyoaminishana alikuwepo huyo jamaa, hutopata ushahidi wowote wa kihistoria, kijiografia, kifizikia mpaka kibiolojia hakuna huo ushahidi wa uwepo wa yesu wala taifa la israel hapo Middle East zaidi zaidi ilikuwa ardhi ya koloni la wazungu walipoishi waarabu pia na si taifa la israel na wala historia za hao manabii uchwara hazipo.
sasa turudi kwenye mada je hayo maandiko hayajawai kufanyiwa mabadiriko?, kwanini kuna nakala na matoleo mengi?, je maana ktk nakala za zamani una uhakika ndizo hizi hizi unazotumia wewe kanisani?, yaani mzungu mrumi aliyeuchezea ukristo na muanzilishi wa ukristo na kuleta hii migawanyiko utegemee akupe nakala halisi?.
Hivi wafia dini akili huwa mnaweka wapi, soma historia
Jihadhari na kudhani kuwa tunazungumzia yaliyomo ndani ya Biblia. Hapa hoja ni vile vitabu ni nakala ya vitabu halisi ambavyo inawezekana kabisa hatujui hivyo vitabu halisi vipo wapi.Huyo Mwanazuoni wako ameupimaje uhalisi wa Biblia?
Haya yote ungemuuliza huyo Mwanazuoni wako. Na kwa sababu unamwamini naamini utayapokea MAJIBU atakayokupa kama yalivyo!. Kwanini ujipe stress wakati Mwanazuoni wako yupo?Jihadhari na kudhani kuwa tunazungumzia yaliyomo ndani ya Biblia. Hapa hoja ni vile vitabu ni nakala ya vitabu halisi ambavyo inawezekana kabisa hatujui hivyo vitabu halisi vipo wapi.
Ukija naomba uanze kwanza kwa kupangua Hawa wanahistoria ambao sio wakristo ni nje kabisa na biblia wanathibitisha uwepo wa Yesu ,na jiografiaTukianza na historia kabisa tuchukue nakala halisi za historia na nakala za biblia kuanza kukagua mambo, tutagundua hata huyo Yesu hajawai kuwepo maana miaka 2000 iliyopita kama mnavyoaminishana alikuwepo huyo jamaa, hutopata ushahidi wowote wa kihistoria, kijiografia, kifizikia mpaka kibiolojia hakuna huo ushahidi wa uwepo wa yesu wala taifa la israel hapo Middle East zaidi zaidi ilikuwa ardhi ya koloni la wazungu walipoishi waarabu pia na si taifa la israel na wala historia za hao manabii uchwara hazipo.
😁😁😁😁Yaan muuza vitumbua anyofoe kurasa za Biblia au Quran na afungie vitumbua wateja wake? Labda kwa wagalatia watasema wanamwachia Yesu atashughulika na muuzaji siku ya mwisho ila wazee wa Kobazi wanafyeka kichwa mchana kweupeee..hawanaga uvumilivu wao kwao Allah anapiganiwa,yaan dini ya Allah inatakiwa ipiganiwe kwa jasho na damu.
Bandiko langu limenyooka halina kipengere na walioliewa kama kina hamis77 na Infropreneur wanalitendea haki.Haya yote ungemuuliza huyo Mwanazuoni wako. Na kwa sababu unamwamini naamini utayapokea MAJIBU atakayokupa kama yalivyo!. Kwanini ujipe stress wakati Mwanazuoni wako yupo?
Yesu kazikuta biblia agano la kale , Septuaginta imeandikwa karibu miaka 250BC kule AlexandriaYesu hakukuta biblia popote, tengua kauli
Usahihi ni nini?Je unafikiri ni Sahihi kuwa na mtazamo huo?
Nimekwambia mimi siamini. Sina imani ya aina yoyote ile.Ni kipi kimekusuma kuamini Kama haya yote uliyotaja ni fake haya exist?
Nataka hii mada ya nakala halisia uje na data na ushahidi mwingisasa turudi kwenye mada je hayo maandiko hayajawai kufanyiwa mabadiriko?, kwanini kuna nakala na matoleo mengi?, je maana ktk nakala za zamani una uhakika ndizo hizi hizi unazotumia wewe kanisani?, yaani mzungu mrumi aliyeuchezea ukristo na muanzilishi wa ukristo na kuleta hii migawanyiko utegemee akupe nakala halisi?.
Hivi wafia dini akili huwa mnaweka wapi, soma historia
Acha propaganda Mzee ,ilichakachuliwa lini na wapi ?Biblia wahuni waliichakachua kitambo sana
biblia og ipo ithiopia
Anyway ile kubwa uki roll inatoa misokoto 4 mpaka 5
Ile ndogo 2
Nimeka na kava tu
Thank yu!
Usicheke mkuu😁😁😁😁.Kobazi hawana masihara linapofika swala la kuchezea kitabu chao mnyazi kisicho na shaka ndani yake. Allah alishaahidi kukilinda kisichezewe wala kuzihakiwa na binadamu sasa jichanganye uone. Yapo matukio watu walifyekwa shingo kwa kwa jambia walipojaribu kuikojolea au kuichoma moto Quran ya mnyazi.😁😁😁😁
Nimecheka kama mazuri ,
Kwa muktdha huo wewe sio binadamu wa kawaida kitu ambacho umeshindwa kuniconvice, binadamu Mimi na wewe hatuna tofauti Kama Mimi naamini it means na wewe unahizo feeling because your human lakin si lazima ziwe directly Kwenye the samething na ninachoamini.Usahihi ni nini?
Nimekwambia mimi siamini. Sina imani ya aina yoyote ile.
Siamini kwenye kuamini.
Sihitaji kuamini, nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Ushindwe pepo.Mjusi Sharobalo hapa atasema NDIO.
Ni story za VIJIWENI tu kama hiyo hapo juu ya kuwa biblia halisi ipo Ethiopia 😂hamis77 hii hoja kuwa Biblia na Quran halisi zimefungiwa huko Vaticani Ina ukweli kiasi gani?
Qurani ilifikajefikaje Vatican?
Umejuaje kama hiyo ya Ethiopia ndio OG?Biblia wahuni waliichakachua kitambo sana
biblia og ipo ithiopia
Anyway ile kubwa uki roll inatoa misokoto 4 mpaka 5
Ile ndogo 2
Nimebaki na kava tu
Thank yu!
Hivi kwanini mtu kama kitu huna elimu nacho unakitolea maelezo Tena zama hizi za uwazi, zama teknolojiaNi kweli kuna ukakasi. Kuna vitabu vinaitwa "apocrypha" havipo kwenye bibilia tunazotumia, viliondolewa na kanisa katoliki.