Kwa sababu haujawahi kufahamu Biblia ni kubwa mara kumi zaidi ya Quran.Yoda
hizi ni sababu kwanini qur'an inahifadhika kirahisi
Qur’an imekuwa rahisi kuhifadhika si kwa bahati, bali kwa mkusanyiko wa hekima ya kimungu na muundo wa kipekee unaofanya maneno yashike kama alama moyoni
Haya ndiyo sababu kuu:
1. Ahadi ya Allah Mwenyewe
Qur’an inajitambulisha kwa kauli iliyo wazi:
“Na hakika Sisi tumeifanya Qur’an iwe rahisi kwa kukumbuka, je, yupo anayekumbuka?”
(Qur’an 54:17)
Hapa, urahisi wa kuhifadhi ni ahadi, si mbinu ya binadamu.
2. Muundo wa sauti unaovutia akili
Qur’an ina:
Mdundo wa maneno (rhythm)
Marudio yenye maana
Mizani ya sauti (tajwid)
Hata mtoto asiyefahamu Kiarabu anaweza kuikamata kwa kusikia tu. Masikio hufungua mlango, moyo huikaribisha.
3. Marudio yenye hekima
Maneno, misemo na aya zinajirudia kwa mtindo usioboa, bali unaimarisha kumbukumbu.
Marudio haya ni kama kupiga muhuri mara kadhaa kwenye kumbukumbu ya moyo.
4. Lugha iliyo wazi na thabiti
Kiarabu cha Qur’an:
Kina mizizi ya maneno inayounganika
Neno moja linafungua maana nyingi
Maneno yana uhusiano wa kimaana
Hii husaidia akili kushona aya kwa aya, si kuzikariri kama orodha kavu.
5. Inahifadhiwa kwa kusomwa pamoja
Qur’an haikuja kwa kusomwa kimya pekee, bali:
Masjid
Swala
Tarawehe
Darsa za Qur’an
Hii huifanya ikumbukwe kwa kusikia, kuona, na kurudia. Kumbukumbu ya jamii huimarisha kumbukumbu ya mtu binafsi.
6. Usafi wa dhamira ya mhifadhi
Wengi huihifadhi:
Kwa ibada
Kwa mapenzi
Kwa unyenyekevu
Nia safi hufungua mlango wa baraka. Qur’an haingii kwa nguvu, huingia kwa unyoofu wa moyo.
7. Inalingana na umri wote
Mtoto mdogo huihifadhi
Mzee asiyejua kusoma huihifadhi
Mtu kipofu huihifadhi
Hii inaonyesha kuwa Qur’an haitegemei uwezo wa kielimu, bali mwanga wa Mwenyezi Mungu.
Quran sio gazeti Kila mara nakwambia.Leta Ushahid ,acha uongo
Hakuna popote pale dunian,nakala ya Quran ya karne ya 7
Kadanganye watoto wa madrasa
Haya mzigo huo hapo.niambie biblia ipi ni sahihi hapoLeta Ushahid ,acha uongo
Hakuna popote pale dunian,nakala ya Quran ya karne ya 7
Kadanganye watoto wa madrasa
JIBU unachoulizwaHaya mzigo huo hapo.niambie biblia ipi ni sahihi hapo
Leta Ushahid ,acha uongoQuran sio gazeti Kila mara nakwambia.
Hata ukiangalia jinsi ilivyokuja unaona kabisa mtiririko wake .imetoka Kwa Mungu akampa jibril akamsomea mtume ambaye hajui kusoma Wala kuandika.ila ana uwezo wa kuuhifadhi na mtume akawasomea WATU.
Njoo Sasa uone Kona Kona kwenye biblia 🤣🤣🤣.Kuna hadi barua za watu
Kwa hyo unataka ujibiwe wewe tu.ila kuulizwa hautaki?JIBU unachoulizwa
Leta Ushahid ,acha uongo
Hakuna popote pale dunian,nakala ya Quran ya karne ya 7
Kadanganye watoto wa madrasa
Kwahiyo Mungu ndio alisema "Jua linazama kwenye matope?😂😂😂Quran sio gazeti Kila mara nakwambia.
Hata ukiangalia jinsi ilivyokuja unaona kabisa mtiririko wake .imetoka Kwa Mungu akampa jibril akamsomea mtume ambaye hajui kusoma Wala kuandika.ila ana uwezo wa kuuhifadhi na mtume akawasomea WATU.
Njoo Sasa uone Kona Kona kwenye biblia 🤣🤣🤣.Kuna hadi barua za watu
Hakuna Aya Wala sura iliyotungwa baada ya mtume kufariki.haipo na haitakuwepo.Leta Ushahid ,acha uongo
Hakuna popote pale dunian,nakala ya Quran ya karne ya 7
Kadanganye watoto wa madrasa
Hujajibu na hata kwenye ule Uzi umekimbia hoja kwa staili hii hiiKwa hyo unataka ujibiwe wewe tu.ila kuulizwa hautaki?
alafu wewe umekaa Kwa ajili ya kubishana sio kuelewa.umeshaambiwa Quran unayoiona Sasa ndo ilikuwepo kipindi Cha mtume.sasa unabisha nini?
Wewe ni maamuma hujui kituHakuna Aya Wala sura iliyotungwa baada ya mtume kufariki.haipo na haitakuwepo.
Kama unabisha bisha tu.
😄😄😄.HUNA jipya.Wewe ni maamuma hujui kitu
Ule Uzi mimi sijakimbia nimekuacha sababu nilishamaliza Kila kitu ila ulikalia ubishi.Hujajibu na hata kwenye ule Uzi umekimbia hoja kwa staili hii hii
Unajifanya uislamu una majibu
Ukipigwa maswali wala hujibu unakimbilia kuuliza
Kule hivi hivi Hadi umekimbia ,
Nataka wenye ELIMU tu ,wewe nishakuweka kundi la maamuma
Nakupuuza ,maana hata kwenye ule Uzi umerukaruka hivi na yule mwenzako
Kwasasa nataka wenye elimu ,nyie fata upepo mnanipotezea muda
Na ukaamin bila kuchujaLeo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi.
Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo nakala kama ni vitu vitakatifu.
Kasema kiuhalisia nakala hizo zinatokana na vitabu halisi lakini zenyewe siyo vitabu halisi. Kasema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa na Biblia au Quran halisi.
Kazi ipo.
Mkuu hao hawakosekani kila uzi,kupitia upotoshaji wao tunachota elimu kutoka kwenu pale mnapoweka facts,Allen Kilewella
Sasa hivi nyuzi zako nitakuwa siji , wapotoshaji na wanaoleta story za kijiweni nikishaleta hoja wazijibu wanaingia mitini
Huwa mtu anayejibu vitu bila reference kwangu namuona ni muongoUle Uzi mimi sijakimbia nimekuacha sababu nilishamaliza Kila kitu ila ulikalia ubishi.
Ulisema Israel maana yake aliyeshindana na Mungu akamshinda.ukasema hawakushindana kinguvu ila kiroho nikakuuliza hayo maelezo umeyatoa wapi kwenye biblia haukujibu .
Ila mimi nikikwambia maana ya Israel ni MJA WA MWENYEZI una taka wapi sheikh alipoandika.na hata nilipokuonesha bado haukuelewa ndo maana nikaona naumiza kichwa Bure tu
Umeshindwa kuleta hata kipande cha karatasi cha Quran ya karne ya 7 ,😄😄😄.HUNA jipya.
Niambie biblia amepewa mtume gani?
Hapo nini cha kuchuja?Na ukaamin bila kuchuja
Mungu wa Quran wa ajabu sana hana nguvu za kutetea dini yake mpaka ategemee waumini wake waitete dini, huyu ana utofauti gani na mtoto mdogo asiye na uwezo wa kujitetea zaidi ya kusubiri watu wazima wamtetee?, hizo nguvu zake, miujiza mnayofundishana misikitini hivi kiuhalisia kuna hata muujiza mmoja ashawai kuufanya?, afadhali hata ile dini ya ukristo japo nao matapeli lkn Mungu wao hatetewi na waumini kaachwa ajitetee mwenyewe japo naye hana huo uwezo lkn miujiza ya maigizo huko makanisani si mnaiona?, kuna shekhe hata mmoja anauwezo wa kutibu hata Homa kupitia utapeli wa Quran?