Kumbe mji siyo mzito, walimwengu ndo wazito

Yule dada alichezea shilingi chooni amebaki kujidogodesha
 
Huyo hajawahi kuwa mtangazaji bhana, yy ni muigizaji. Kuna muda alikuwaga anaigiza na kistuli km wanafunzi. Na juzi kati hapa alikuwa na tatoo ya sepenga ambayo ilileta tafrani kwenye mitandao

Sent using Jamii Forums mobile app
hebu njoo PM MKUU, mi sio mfuatiliaji sana wa bongo movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…