Kumbe mkoko mpya wa diamond ni wa kuhongwa, huyu apa aliyemuhonga..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kama ulikuwa una doubt ya uhalali wa mkoko mpya wa diamond Toyota land cruiser v8(luxury 4*4) anaomiliki diamond, ondoa shaka jibu limepatikana ,hakununua kwa pesa yake bali amepewa kama zawadi na mfanyabiashara maarufu bongo, chief kiumbe.
 
Km kweli kapewa na Chief Kiumbe asiwe karibu nae maana jamaa damu za kina Ngwea na Langa zinamlilia.
 
Mambo ya free lunch kumbe Bongo yapo?
 
Plate number ilikuwa KIUMBE naona amerudisha plate number yake original ambayo ni BFX ya mwaka juzi, japo wapambe wanasema "Mkoko mpya million 300.
 
Huyu binadamu KIUMBE anafanya biashara gani? au ndo walewale?.
 
Huyu binadamu KIUMBE anafanya biashara gani? au ndo walewale?.

Kama wewe siyo mnywaji wa kinondoni, sinza na kijitonyama mambo haya hutokaa uyajuwe.

Chief kiumbe Big Boss ndio boss wa Ally Choki, q chila, dogo janja na wengineo, huyu ni muzee wa Musoma huku akiendesha biashara zake mombasa kenya.

Ila swala la Diamond kupewa gari mnashangaa bure kwani hata Ridhiwani Kikwete alishasema si kila gari mnayomuona nayo ni ya kwake ila hapa tunaishi kimjinimjini.

Ile nyumba ys million 400 ya Wema Sepetu imeishia wapi?
 
Kama ulikuwa una doubt ya uhalali wa mkoko mpya wa diamond Toyota land cruiser v8(luxury 4*4) anaomiliki diamond, ondoa shaka jibu limepatikana ,hakununua kwa pesa yake bali amepewa kama zawadi na mfanyabiashara maarufu bongo, chief kiumbe.

mkuu nipata kukuambia na nakuambia tena ile gari si yake kwa kupewa au kwa kununua
 

Naona kama unachanganya Ustaadhi Juma na Chief ingawa upo right kwa 80%
 
kama ni hivyo basi Diamond kwisha habari yake kwa sababu Chief Kiumbe ni tapeli la kimataifa.Zamani wakati nikiishi Musoma alikuwa akifanya utapeli wa kujifanya mganga wa kumwezesha mtu anayetoa pesa kwake aongezewe kimiujiza.hata hivyo utapeli huo alikuwa hafanyii Tanzania.alifanyia Nairobi na nchi zingine nje ya TZ.
 
mkuu nipata kukuambia na nakuambia tena ile gari si yake kwa kupewa au kwa kununua

Ila mwenyewe chief alikiri kumpa gari hyo diamond kama zawadi(akutaka kufafanua zaid I zawadi kwa ajili gani) na vilele aligoma kutaja thamani ya hiyo gari na kusisitiza tu ieleweke amempa diamond kama zawadi, kwa maana ni mali ya diamond kwa sasa
 
Bado sijaelewa hiyo chief lazima diamond atakuwa kampoza kidogo ki sh sio bure tu
 
Sasa tuhuma za diamond na kubebeshwa "sembe" dancers wake na hata yeye naanza kuziamini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…