Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu binadamu KIUMBE anafanya biashara gani? au ndo walewale?.
Kama ulikuwa una doubt ya uhalali wa mkoko mpya wa diamond Toyota land cruiser v8(luxury 4*4) anaomiliki diamond, ondoa shaka jibu limepatikana ,hakununua kwa pesa yake bali amepewa kama zawadi na mfanyabiashara maarufu bongo, chief kiumbe.
Kama wewe siyo mnywaji wa kinondoni, sinza na kijitonyama mambo haya hutokaa uyajuwe.
Chief kiumbe Big Boss ndio boss wa Ally Choki, q chila, dogo janja na wengineo, huyu ni muzee wa Musoma huku akiendesha biashara zake mombasa kenya.
Ila swala la Diamond kupewa gari mnashangaa bure kwani hata Ridhiwani Kikwete alishasema si kila gari mnayomuona nayo ni ya kwake ila hapa tunaishi kimjinimjini.
Ile nyumba ys million 400 ya Wema Sepetu imeishia wapi?
mkuu nipata kukuambia na nakuambia tena ile gari si yake kwa kupewa au kwa kununua
Naona kama unachanganya Ustaadhi Juma na Chief ingawa upo right kwa 80%
Huyu binadamu KIUMBE anafanya biashara gani? au ndo walewale?.
Chief kiumbe siyo mtu mzuri sana na makalio ya vijana...kwa level ya diamond hatakiwi kumfanya rafiki huyu jamaa