Muda huu chief kiumbe yupo live times fm (sun rise), amekiri kumnunulia diamond platinum hilo gari kubwa (vx v8) kwa zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 200 bure bila mkataba wowote
Chief kiumbe siyo mtu mzuri sana na makalio ya vijana...kwa level ya diamond hatakiwi kumfanya rafiki huyu jamaa
Yani hivi hivi..!!
Bure bure..!!
Aaaa chief..
Daah!! Mjini hakukosi jipya..
Kapewa kama Zawadi??
Au kapewa tu??!
Maana zawadi huwa haitolewi bila sababu..
Cc: heaven on desert
kwahiyo kapewa kswasababu ya:
-Express ur self?
-Donkey
-Just friends?
Diamond au yule msemaje wake aje atoe ufafanuzi tafadhali, kwani hizi taarifa zinatia simanzi.......haingii akilini mwanaume kupewa gari na mwanaume mwenzako...tena mfanya biashara mwenye utata.
kunaweza kuwa kunanuka dawa ya chooUnauliza chooni kunanuka nini?