Bin Chuma
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 313
- 244
Muda huu chief kiumbe yupo live times fm (sun rise), amekiri kumnunulia diamond platinum hilo gari kubwa (vx v8) kwa zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 200 bure bila mkataba wowote
Mmmmh, hata viumbe vyote viliumbwa kwa sababu, huwezi sema huna makubaliano na mtu na kumpa zawadi tu, hata yy diamond angekuwa hajui anapewa gari kwa sababu gani asingepokea. Fanyeni yenu ila msiwadanganye watu kwa kuficha yenu.