Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitigo cha mtu akijaliwa hapa mbona nasikia harufu mbaya
Muda huu chief kiumbe yupo live times fm (sun rise), amekiri kumnunulia diamond platinum hilo gari kubwa (vx v8) kwa zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 200 bure bila mkataba wowote
Muda huu chief kiumbe yupo live times fm (sun rise), amekiri kumnunulia diamond platinum hilo gari kubwa (vx v8) kwa zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 200 bure bila mkataba wowote
"Mwanae" huyo...
Ameshasema bila mkataba wowote! Halafu naomba niulize, hivi neno 'anyway' huwa lina plural yake 'anyways'?..,anyways hatujui wana makubaliano gani bana!
atakuwa kaikubali sana hiyo NGOLOLO ya diamond
Utata huu...!
Gari la mil 200 bila sababu?
Hell NOOOo...!
Ameshasema bila mkataba wowote! Halafu naomba niulize, hivi neno 'anyway' huwa lina plural yake 'anyways'?
hiyo NGOLOLO hebu iongezee kule kwenyu Dictionary ya MMUatakuwa kaikubali sana hiyo NGOLOLO ya diamond