Kumbe mlenda sio mboga

Ile wanopika wahehe wanatia na karanga inaitwaje vile? Nliwahi pikiwa na dada mmoja ila ikanishinda sikuipenda ladha yake
 
Yaani ninavyouchukia mlenda hata siwezi kaa meza moja na anaekula mlenda kwa wakati huo
 
Ile wanopika wahehe wanatia na karanga inaitwaje vile? Nliwahi pikiwa na dada mmoja ila ikanishinda sikuipenda ladha yake

Siwezi kujua maana mboga za majani nyingi huwekwa karanga inategemea sehemu. Sehemu za pwani wanatumia nazi hivyo badala ya nazi wengine huweka karanga wengine ufuta au kweme
 
hamuweki LIKE KAMA DAUDI MCHAMBUZI mnapita tu
 
wakati wanaume wanaweka zengwe la wanawake kutokula mayai ili wale wao wanawake nao waliweka zengwe wanaume wasile mlenda ati unapounguza nguvu za kiume kumbe ni sbb wanaupenda sana
 
vipi mlenda ukichanganya na mchunga
 
Ile wanopika wahehe wanatia na karanga inaitwaje vile? Nliwahi pikiwa na dada mmoja ila ikanishinda sikuipenda ladha yake
kama ambavyo wazungu wengi hawapendi UGALI eti hauna ladha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…