Upo mkavu ukatwangwa na karanga, ila wewe pika hivi; chukua majani ya maboga kumi na tano na bamia tano za wastani hata sita OSHA chemsha maji ktk sufuria mdogo maji vikombe viwili au kadiria katakata bamia na majani ya maboga kidogo kidogo kama unavyokata kabichi maji yakichemka weka hayo majani na bamia ukipenda weka magadi kidogo ukitaka weka nyanya na karanga acha iive taratibu chumvi weka baadae kidogo baada ya muda ipua mlenda tayari kuliwa na ugali. Nakuamia wewe ni mpishi hushindwi kuvanya hivyo
Ile wanopika wahehe wanatia na karanga inaitwaje vile? Nliwahi pikiwa na dada mmoja ila ikanishinda sikuipenda ladha yake