Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu Wa Tabora wanataabu
Napenda mlenda ukiwa umemixiwa na nyama au maharage,lakini nikikuta umekaa single hakuliki hapo
Kwangu mimi ni mboga namba moja nikiwa nyumbani lazima nipike swalu jina lingine kirumbu lingine ndalu na lingine lilende kwi kwi kwi naupenda

we mnyamwezi?
Mnyamwezi ndio kabila kuu ila wazazi wangu wote wanamchanganyiko wa makabila nikiwa na maana wazazi wao walikuwa na makabila tofauti
Napenda mlenda ukiwa umemixiwa na nyama au maharage,lakini nikikuta umekaa single hakuliki hapo
maajabu haya mweh
Amavumbi hebu nipikie mlenda walau nijue ladha yake inafananaje sijawahi kula hii kitu nasikia tu