hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
au hombo kwa kisambaa hata Mohamed Mtoi anajua
basi saaawaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au hombo kwa kisambaa hata Mohamed Mtoi anajua
asee... Kweli kabisa nahisi hizi mboga nyingine ziligundulika kipindi cha njaa watu watu hawakuwa na kitu chengine cha kula..
Sipendi mlenda
Wakali wa kudharau vya asili yetu! Who hates burger? Pizza!?
hivi mlenda ndio bamia lililokatwa katwa?
Au ?
Mlenda ni mboga au majani yanayoliwa yanayoteleza. Kinyamwezi tunasema Malendi na yapo aina nyingi, bamia ni moja wapo. Kuna mlenda
1. Kala
2. Wima
3. Mbata
4. Bamia
Kati ya hizo 3 najua scientific names zake nitawaletea baadaye.
Cc: Sikonge, KIKUNGU uje nikupikie nswalu, The Boss na wanyamwezi wengine
kwangu mimi ni mboga namba moja nikiwa nyumbani lazima nipike swalu jina lingine kirumbu lingine ndalu na lingine lilende kwi kwi kwi naupenda
huyu mtani anatutafuta ugomvi , mimi narudi home next week nimetuma salamu kabisa kwamba menu ya kwanza swalu au ule wa pori ,, ukiona mgonjwa hali mlenda weken turubai
Wakali wa kudharau vya asili yetu! Who hates burger? Pizza!?
Unapenda mlenda bali siyo Kiswahili?
mada inaanza kuhama
Mlenda ni mboga au majani yanayoliwa yanayoteleza. Kinyamwezi tunasema Malendi na yapo aina nyingi, bamia ni moja wapo. Kuna mlenda
1. Kala
2. Wima
3. Mbata
4. Bamia
Kati ya hizo 3 najua scientific names zake nitawaletea baadaye.
Cc: Sikonge, KIKUNGU uje nikupikie nswalu, The Boss na wanyamwezi wengine
vipi mlenda ukichanganya na mchunga