Kumbe mlenda sio mboga

Kumbe mlenda sio mboga

asee... Kweli kabisa nahisi hizi mboga nyingine ziligundulika kipindi cha njaa watu watu hawakuwa na kitu chengine cha kula..
Sipendi mlenda

Sasa mvulana unajiita cute boy utaweza wapi vitu vya asili?
 
hivi mlenda ndio bamia lililokatwa katwa?
Au ?

Mlenda ni mboga au majani yanayoliwa yanayoteleza. Kinyamwezi tunasema Malendi na yapo aina nyingi, bamia ni moja wapo. Kuna mlenda
1. Kala
2. Wima
3. Mbata
4. Bamia
Kati ya hizo 3 najua scientific names zake nitawaletea baadaye.
Cc: Sikonge, KIKUNGU uje nikupikie nswalu, The Boss na wanyamwezi wengine
 
Last edited by a moderator:
Nimekumiss balaa we mtoto.
Upo?

Mlenda ni mboga au majani yanayoliwa yanayoteleza. Kinyamwezi tunasema Malendi na yapo aina nyingi, bamia ni moja wapo. Kuna mlenda
1. Kala
2. Wima
3. Mbata
4. Bamia
Kati ya hizo 3 najua scientific names zake nitawaletea baadaye.
Cc: Sikonge, KIKUNGU uje nikupikie nswalu, The Boss na wanyamwezi wengine
 
kwangu mimi ni mboga namba moja nikiwa nyumbani lazima nipike swalu jina lingine kirumbu lingine ndalu na lingine lilende kwi kwi kwi naupenda

huyu mtani anatutafuta ugomvi , mimi narudi home next week nimetuma salamu kabisa kwamba menu ya kwanza swalu au ule wa pori ,, ukiona mgonjwa hali mlenda weken turubai
 
Mlenda ni mboga au majani yanayoliwa yanayoteleza. Kinyamwezi tunasema Malendi na yapo aina nyingi, bamia ni moja wapo. Kuna mlenda
1. Kala
2. Wima
3. Mbata
4. Bamia
Kati ya hizo 3 najua scientific names zake nitawaletea baadaye.
Cc: Sikonge, KIKUNGU uje nikupikie nswalu, The Boss na wanyamwezi wengine

cc charty Honey Faith
 
Naupenda sana mlenda kala.
Wakati naishi Mpanda tulikua tukienda kuchunga mbuzi tunarudi na mlenda kala bibi anatupikia
 
Napenda sana mboga ya mlenda ,
Hata ukiwa na homa kali ya malaria hamu ya kula ikaisha lakini kwa mboga ya mlenda utakula tu kwa jinsi Radha yake ilivyo Nzuri sana.

Mchunga pia haukifu, Ukiweka nazi utafaidi mpaka basi.

Tembele halkadhalika.

Bongo raha sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom