Kumbe mnaposema tuwe na confidence mnakuwa na lengo baya?

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
719
Reaction score
2,408
Wazee baada ya kudevela katika interview nyingi kwa uoga na presha sasa mwezi uliopita naweza kusema katika interview zote nilizowahi kuattend nakiri hii ya mwezi jana ilikuwa ndo ilikuwa the best performance i ever had kiasi cha kuwatisha wote waliokuwa wanauliza maswali unaona kabisa wanaogopa unaona kabisa wanauliza kwa sauti za kutetemeka flani hivi.

Wakati hiyo tone ilikuwa ndo yangu kwenye kila interview zilizopita ila kwa mara ya kwanza kwenye interview hii Ile tone niliisikia kutoka kwao wasahili(aisee ni tone moja mbaya sana inasound hovyoo). Ile naingia tu nikakuta kuna sofa la watu watatu nikakaa katikati ya sofa huku nimetanua miguu.

Kuna mwana JF aliwahi kusema kwenye interview yoyote hata ya ukondakta wa daladala usikae kwa kubana bana miguu inakua kama hujiamini so miguu nikaitawanya kweli kweli msamba sio msamba sijui kitu gani yani full dominant.

Nikakuta wameweka chai na sambusa. Nakumbuka tena mwana jf huyo aliwahi pia kutoa ushauri kwamba unapofika kwenye interview jiachie feel at home), so baada ya kukumbuka hilo nikafungua ile chupa ya chai nikaanza kuinywa mdgo mdgo huku nawatazama machoni vikali mpaka wao ndo wakaanza kukwepesha macho kwa kuzuga kuangalia outline yao ya maswali kwenye karatasi.

(Mwana JF huyo huyo pia alisisitiza hakikisha unawakazia macho wasahili usiangalie pembeni hata kidogo. Nikazingatia ushauri). Walikuwa watano wanaume wawili na wanawake watatu wazuri kweli. Wakaanza na swali la tuambie wewe ni nani.

Nikatiririka vyema kwa kujiamini nikiitawala ofisi with vivid examples huku nawakazia macho mmoja baada ya mwingine yani nilijipanga leo kife kife ama zangu ama zao. Mwisho wa siku nikaambiwa utajulishwa kwa kupigiwa simu wiki ijayo tu hivyo nikaondoka. Na sikuondoka.

Inafika mida ya lunch wanatoka getini wanakuta napiga stori na mlinzi getini stori zimeiva ni kama tunajuana na pot kitambo kumbe walaa. Na nilisoma kuna broo mmoja katika wale wasahili alionekana kufurahia sana uwepo wangu siku ile alinisindikiza mpaka stendi huku tukipiga stori sana njiani.

Cha ajabu sijaitwa kazini mpaka leo na hiyo simu waliyosema watanipigia mpaka december hii sijaona hata wakinibip. Mods naomba mtanisaidia kuweka paragraphs.

Nina stress za kukosa kazi alafu christmas ni juma5 ijayo tu hapo. Lakini kwani nini? Chai yao nimekunywa.
 
Wewe jamaa be serious yaani unataka tukuchukue na ulijida machi know,
Sisi hua hatutaki wajanja wanjanja
Tunataka maboya wa kuwaburuza

Shabhaaash endelea kuteseka!
 
Wazee baada ya kudevela katika interview nyingi kwa uoga na presha sasa mwezi uliopita naweza kusema katika interview zote nilizowahi kuattend nakiri hii ya mwezi jana ilikuwa ndo ilikuwa the best performance i ever had kiasi cha kuwatisha wote waliokuwa wanauliza maswali unaona kabisa wanaogopa unaona kabisa wanauliza kwa sauti za kutetemeka flani hivi. Wakati hiyo tone ilikuwa ndo yangu kwenye kila interview zilizopita ila kwa mara ya kwanza kwenye interview hii Ile tone niliisikia kutoka kwao wasahili(aisee ni tone moja mbaya sana inasound hovyoo). Ile naingia tu nikakuta kuna sofa la watu watatu nikakaa katikati ya sofa huku nimetanua miguu, kuna mwana jf aliwahi kusema kwenye interview yoyote hata ya ukondakta wa daladala usikae kwa kubana bana miguu inakua kama hujiamini so miguu nikaitawanya kweli kweli msamba sio msamba sijui kitu gani yani full dominant. nikakuta wameweka chai na sambusa. Nakumbuka tena mwana jf huyo aliwahi pia kutoa ushauri kwamba unapofika kwenye interview jiachie feel at home), so baada ya kukumbuka hilo nikafungua ile chupa ya chai nikaanza kuinywa mdgo mdgo huku nawatazama machoni vikali mpaka wao ndo wakaanza kukwepesha macho kwa kuzuga kuangalia outline yao ya maswali kwenye karatasi. (mwana jf huyo huyo pia alisisitiza hakikisha unawakazia macho wasahili usiangalie pembeni hata kidogo. Nikazingatia ushauri). Walikuwa watano wanaume wawili na wanawake watatu wazuri kweli. Wakaanza na swali la tuambie wewe ni nani. Nikatiririka vyema kwa kujiamini nikiitawala ofisi with vivid examples huku nawakazia macho mmoja baada ya mwingine yani nilijipanga leo kife kife ama zangu ama zao. Mwisho wa siku nikaambiwa utajulishwa kwa kupigiwa simu wiki ijayo tu hivyo nikaondoka. Na sikuondoka. Inafika mida ya lunch wanatoka getini wanakuta napiga stori na mlinzi getini stori zimeiva ni kama tunajuana na pot kitambo kumbe walaa. Na nilisoma kuna broo mmoja katika wale wasahili alionekana kufurahia sana uwepo wangu siku ile alinisindikiza mpaka stendi huku tukipiga stori sana njiani.. Cha ajabu sijaitwa kazini mpaka leo na hiyo simu waliyosema watanipigia mpaka december hii sijaona hata wakinibip. Mods naomba mtanisaidia kuweka paragraphs. Nina stress za kukosa kazi alafu christmas ni juma5 ijayo tu hapo. Lakini kwani nini? Chai yao nimekunywa.
waliona unawaletea ujuaji 🤣🤣
 
Kwenye interview hutakiwa kuwa na hofu. Ila pia hutakiwi kuwa na mambo ya ajabu ajabu .. unatakiwa kuwa smart and gentle
Nilikuwa hivyo mbona au nilizidisha? Maana akilini mwangu nilijiambia hawa ni watu tu kama mimi tena hawa sio kama mimi. Hawa ni nyani tu hivyo mule ndani nikawa nabehave kama nawafundisha nyani kuongea labda ndo kilichoniponza.
 
Wanajua wakikuajiri utawapelesha hasa zile pisi 3
 
Nilikuwa hivyo mbona au nilizidisha? Maana akilini mwangu nilijiambia hawa ni watu tu kama mimi tena hawa sio kama mimi. Hawa ni nyani tu hivyo mule ndani nikawa nabehave kama nawafundisha nyani kuongea labda ndo kilichoniponza.
Ni kweli ni watu kama wewe, ila wao wamekutangulia katika kile unachokitafuta, ni lazima uelewe kuna kanuni yake hapo ya kuendana nao, na kama uliweza imagine kama unafundisha nyani ( basi hauweku smart and gentle). Change Bro.. unapokuwa kwenye mahala pa interview, usiwe na hofu na usiwe na mambo ya hovyo kwasababu ya kujiamini kwako
 
Back
Top Bottom