Bendera Esq
Member
- Dec 16, 2024
- 17
- 64
Confidence na wendawazimu ni vitu viwili tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakiwa urudi siku moja kuwasalimia.Wazee baada ya kudevela katika interview nyingi kwa uoga na presha sasa mwezi uliopita naweza kusema katika interview zote nilizowahi kuattend nakiri hii ya mwezi jana ilikuwa ndo ilikuwa the best performance i ever had kiasi cha kuwatisha wote waliokuwa wanauliza maswali unaona kabisa wanaogopa unaona kabisa wanauliza kwa sauti za kutetemeka flani hivi.
Wakati hiyo tone ilikuwa ndo yangu kwenye kila interview zilizopita ila kwa mara ya kwanza kwenye interview hii Ile tone niliisikia kutoka kwao wasahili(aisee ni tone moja mbaya sana inasound hovyoo). Ile naingia tu nikakuta kuna sofa la watu watatu nikakaa katikati ya sofa huku nimetanua miguu.
Kuna mwana JF aliwahi kusema kwenye interview yoyote hata ya ukondakta wa daladala usikae kwa kubana bana miguu inakua kama hujiamini so miguu nikaitawanya kweli kweli msamba sio msamba sijui kitu gani yani full dominant.
Nikakuta wameweka chai na sambusa. Nakumbuka tena mwana jf huyo aliwahi pia kutoa ushauri kwamba unapofika kwenye interview jiachie feel at home), so baada ya kukumbuka hilo nikafungua ile chupa ya chai nikaanza kuinywa mdgo mdgo huku nawatazama machoni vikali mpaka wao ndo wakaanza kukwepesha macho kwa kuzuga kuangalia outline yao ya maswali kwenye karatasi.
(Mwana JF huyo huyo pia alisisitiza hakikisha unawakazia macho wasahili usiangalie pembeni hata kidogo. Nikazingatia ushauri). Walikuwa watano wanaume wawili na wanawake watatu wazuri kweli. Wakaanza na swali la tuambie wewe ni nani.
Nikatiririka vyema kwa kujiamini nikiitawala ofisi with vivid examples huku nawakazia macho mmoja baada ya mwingine yani nilijipanga leo kife kife ama zangu ama zao. Mwisho wa siku nikaambiwa utajulishwa kwa kupigiwa simu wiki ijayo tu hivyo nikaondoka. Na sikuondoka.
Inafika mida ya lunch wanatoka getini wanakuta napiga stori na mlinzi getini stori zimeiva ni kama tunajuana na pot kitambo kumbe walaa. Na nilisoma kuna broo mmoja katika wale wasahili alionekana kufurahia sana uwepo wangu siku ile alinisindikiza mpaka stendi huku tukipiga stori sana njiani.
Cha ajabu sijaitwa kazini mpaka leo na hiyo simu waliyosema watanipigia mpaka december hii sijaona hata wakinibip. Mods naomba mtanisaidia kuweka paragraphs.
Nina stress za kukosa kazi alafu christmas ni juma5 ijayo tu hapo. Lakini kwani nini? Chai yao nimekunywa.
Niliwazidi kete mpaka wakaanza kurudia maswali nikawa nawakumbusha kwamba hii ni kama nilivyosema hapo awali ni hivi na hivi na hivi eti ndo wakawa nanashtuka... Aaah sory swali nimerudia maana walikuwa wanauliza kwa kupokezana huyu akiuliza la Kwanza yule ana uliza la pili ila niliwaknock out with Peek A Boo styleNmecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣 kwamba ukapiga msamba, chai ukanywa na ukawakazia macho.
Lazma watakua walikuona some text missing dish bovu 😂😂😂😂
Hahahah anything too much is Red flag.Wazee baada ya kudevela katika interview nyingi kwa uoga na presha sasa mwezi uliopita naweza kusema katika interview zote nilizowahi kuattend nakiri hii ya mwezi jana ilikuwa ndo ilikuwa the best performance i ever had kiasi cha kuwatisha wote waliokuwa wanauliza maswali unaona kabisa wanaogopa unaona kabisa wanauliza kwa sauti za kutetemeka flani hivi.
Wakati hiyo tone ilikuwa ndo yangu kwenye kila interview zilizopita ila kwa mara ya kwanza kwenye interview hii Ile tone niliisikia kutoka kwao wasahili(aisee ni tone moja mbaya sana inasound hovyoo). Ile naingia tu nikakuta kuna sofa la watu watatu nikakaa katikati ya sofa huku nimetanua miguu.
Kuna mwana JF aliwahi kusema kwenye interview yoyote hata ya ukondakta wa daladala usikae kwa kubana bana miguu inakua kama hujiamini so miguu nikaitawanya kweli kweli msamba sio msamba sijui kitu gani yani full dominant.
Nikakuta wameweka chai na sambusa. Nakumbuka tena mwana jf huyo aliwahi pia kutoa ushauri kwamba unapofika kwenye interview jiachie feel at home), so baada ya kukumbuka hilo nikafungua ile chupa ya chai nikaanza kuinywa mdgo mdgo huku nawatazama machoni vikali mpaka wao ndo wakaanza kukwepesha macho kwa kuzuga kuangalia outline yao ya maswali kwenye karatasi.
(Mwana JF huyo huyo pia alisisitiza hakikisha unawakazia macho wasahili usiangalie pembeni hata kidogo. Nikazingatia ushauri). Walikuwa watano wanaume wawili na wanawake watatu wazuri kweli. Wakaanza na swali la tuambie wewe ni nani.
Nikatiririka vyema kwa kujiamini nikiitawala ofisi with vivid examples huku nawakazia macho mmoja baada ya mwingine yani nilijipanga leo kife kife ama zangu ama zao. Mwisho wa siku nikaambiwa utajulishwa kwa kupigiwa simu wiki ijayo tu hivyo nikaondoka. Na sikuondoka.
Inafika mida ya lunch wanatoka getini wanakuta napiga stori na mlinzi getini stori zimeiva ni kama tunajuana na pot kitambo kumbe walaa. Na nilisoma kuna broo mmoja katika wale wasahili alionekana kufurahia sana uwepo wangu siku ile alinisindikiza mpaka stendi huku tukipiga stori sana njiani.
Cha ajabu sijaitwa kazini mpaka leo na hiyo simu waliyosema watanipigia mpaka december hii sijaona hata wakinibip. Mods naomba mtanisaidia kuweka paragraphs.
Nina stress za kukosa kazi alafu christmas ni juma5 ijayo tu hapo. Lakini kwani nini? Chai yao nimekunywa.
😅😅😅Mimi nilikuwa nacharanga CV vingereza vingi kumbe hakuna kitu. Hii dunia tuheshimiane aisee. Watu na professional zao walinisaidia sana.Hata mimi ni shahidi wa hilo kama ungewahi kuniona kwenye interview zilizopita kabla ya hii aisee ungenionea huruma yani ni kituko
Confidence za jf hizo while applied to the field ni mwoto sanaKwa confidence hizo kwa nini usijiajiri.
Isije kuwa jamaa alipiga BangiHuyu alipitiliza Hadi kuona wanao mfanyia hiyo interview kama manyani 😅😅
Hizo ni kama za LucasConfidence za jf hizo while applied to the field ni mwoto sana
Umemaliza,mjadala ufungwe.Kwenye interview hutakiwa kuwa na hofu. Ila pia hutakiwi kuwa na mambo ya ajabu ajabu .. unatakiwa kuwa smart and gentle
Haina maana kwamba sijui yanayoendelea huko, nimeishakutana wanaofanyisha interview, na nikapata ukweli upande wa pili .. nacho ongea nakielewa mkuuKumbe ndiyo maana
Uliza tuliopo kwenye mfumo tukwambie
Nimeweka alama ya kuuliza mbele mkuu ( ? ) jibu ni hapana , kuna wengine interview ina amua nani apate na nani asipateUna uhakika nimesema hivi?