Kumbe mnaposema tuwe na confidence mnakuwa na lengo baya?

Umenipa kitu naamini next time nitawin na itaclick tu japo pamoja na kukosa ingawa sijui labda wanasubiri msimu wa sikukuu upite ndo waniite
 
Aisee nilitawanya miguu vibaya mna maana nilifwatilia hadi youtube how to sit in the interview mimi nikaongeza na mambo yangu ya kinyakyusa pale ili mambo yabambe.
kwahiyo ukaamua kuongeza na utaalamu wako.interviews zina mambo ya kijinga yaani unaweza kutoka unajua umetoboa kumbe nyuma uko wenzio wameshakucancel kitambo tu..
 
Wewe haukuelewa MAELEKEZO! uliambiwa uwe na confidence sio over confidence and rude
 
Umenipa kitu naamini next time nitawin na itaclick tu japo pamoja na kukosa ingawa sijui labda wanasubiri msimu wa sikukuu upite ndo waniite
Lolote linawezekana, chukulia Kila interview ni sehemu ya kujifunza, kwa ajiri ya kuwa bora zaidi hapo mbeleni. Usichukulie kama failure bro. One day utapata kazi ya ndoto yangu.. jiamini, muamini Mungu pia
 
Sio kila interview lazima mtu apate..

Usiwavunje vijana moyo, kuna kazi watu wanapata bila kujuana. Na kuna kazi za mijuano.. naongea hivyo ninajua na Nina uhakika
Kama umefanya vizuri na inavyotakiwa kwenye interview kwanini usipate?

Kwanini? Unatakiwa ujue system imebadilika sana wasomi wengi na ajira za kujuana wewe unaware watu false hope unasema una uhakika kisa wewe ulipata bila kuangalia wenzio?

Hawa maelfu ya vijana wapo mitaani na wana qualifications hata interview wamefanya powa hawaitwi wanaitwa vilaza na wale wa vimemo halafu unakataa?

Umeajiriwa kwanza mkuu? ili nijue kabisa
 
Una uhakika gani kwanza kama alie kosa, kwamba amefanya interview Bora kuliko mwingine ?

Bado nakuambia kuna kazi watu wanapata pasipo kujuana. Wewe ndio unawavunja moyo watu humu. Kwamba Kila mtu anaepata kazi siku hizi kashikwa mkono ? ( Hapo sio kweli , kuna watu wanapata kazi pasipokujana na hata nukta ).

Mie sijaajiliwa, ni mshauri wa kujitegemea
 

Tabula rasa …!!! Umeliwa..!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Akili za kuambiwa jambo changanya na zako..!! πŸ˜‚πŸ˜‚ Akili zako umeacha umeenda mzima mzima..!!
 
JFS ni kisiwa cha ujuzi na maarifa.

Nitakuja kutoa confession yangu nzuri sana niliyopata kutoka hapa JF miezi miwili ijayo
 
Tabula rasa …!!! Umeliwa..!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Akili za kuambiwa jambo changanya na zako..!! πŸ˜‚πŸ˜‚ Akili zako umeacha umeenda mzima mzima..!!
Pamoja na yote nimefurahia sana jinsi nilivo emprove aisee sikuwa hivi kwangu nimepata point tatu kubwa sana mpaka nikafurahi baada ya ile interview
 
Nmecheka sana 🀣🀣🀣🀣🀣 kwamba ukapiga msamba, chai ukanywa na ukawakazia macho.

Lazma watakua walikuona some text missing, dish bovu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…