Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Kati ya vitu vilivyonishangaza ni kuwekwa wazi kwa akiba hiyo kiduchu ya fedha za kigeni.
inatakiwa iwe ngapi ili isiwe kiduchu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya vitu vilivyonishangaza ni kuwekwa wazi kwa akiba hiyo kiduchu ya fedha za kigeni.
Kati ya vitu vilivyonishangaza ni kuwekwa wazi kwa akiba hiyo kiduchu ya fedha za kigeni.
Ndo akiba yote,Unajua kuwa TRA wanakusanya 1.2t kila mwezi? Hizo ni kama $0.5b.
Mo hana cash $2b hio jumla ya utajiri wake wote sio cash in the bank.
Halafu ile $5b sio foreign reserve? Au ndio akiba yote?
Safi sana...Huna unalolijua wewe.nani amekwambia Mo ana hakiba fedha ya dola bilion 2? tofautisha utajiri na akiba ya fedha taslimu
HahahahaUna sh ngapi kwenye m-pesa tuanzie hapo
Product ya chuo cha kataHuna unalolijua wewe.nani amekwambia Mo ana hakiba fedha ya dola bilion 2? tofautisha utajiri na akiba ya fedha taslimu
Afu we una wivu...sio bure! Afu una atitude flani hivi, kujua unajua ila unaelezea kwa mabavu hadi unataka pigana na keyboard.mo hana pesa mwenye pesa ni baba yake mzee gulam mzee gulamabbas ndio mwenye metl na yeye aliiinherit kutoka kwa baba yake mohamed dewji sr ambaye ni babu yake na mohamed dewji jr dewji hana pesa yoyote kila kitu ni cha baba yake sema yeye ndio mtoto mkubwa wa kiume afu mzee wake he is getting old
Hapana. Wasigawe. Wanaume tutaonga zote. And so mademu watakuwa wamepata twice!Hizo hela bora kila mtu apewe chake, mambo ya akiba tutajijua wenyewe.
Nimecheka sana!Sasa huyo gulam ni baba yako .. Wivu utakuua
upewe wakati wewe unadaiwa milion moja kwenye deni la taifaHizo hela bora kila mtu apewe chake, mambo ya akiba tutajijua wenyewe.
Kwake yeye huyo mtu alieweka wazi ni hela nyingi maana tangu azaliwe ndo amejikuta sasa hivi amepara access ya kuona hivyo lazima awe na kiraru raruKati ya vitu vilivyonishangaza ni kuwekwa wazi kwa akiba hiyo kiduchu ya fedha za kigeni.
Uelewa mdogo na kusema sema ovyo mambo yasiyo na mantiki, mi nashangaa sana watu kuzungumza ukwasi wa Mo ambao hauwezi kuwasaidia kwa namna yoyote ile wao binafsi labda awaajiri.Huna unalolijua wewe.nani amekwambia Mo ana hakiba fedha ya dola bilion 2? tofautisha utajiri na akiba ya fedha taslimu
aisee uyo jamaaa mueleweshe vzr ajui kituHuna unalolijua wewe.nani amekwambia Mo ana hakiba fedha ya dola bilion 2? tofautisha utajiri na akiba ya fedha taslimu
Huyo mo hizo hesab ni pamoja na mashamba,sasa hzo za serikal ni keshNimemsikia Rais Magufuli akisema serikali Ina akiba ya Dola za Kimarekani Bilioni 5 zinazoweza kuendesha nchi Kwa takriban miezi sita huku mfanyabiashara MO Dewji akimiliki utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2 kwa mujibu wa Jariba la Forbes ambao ni karibia nusu ya akiba iliyo nayo serikali!
My take : Wafanyabiashara siyo wa kubezwa maana wameshikilia sehemu kubwa ya uchumi wa nchi ,pia viongozi wetu wawe Na hekma siyo kila data ya kuweka hadharani huenda zikatumiwa vibaya Na maadui.