Kumbe MO anamiliki nusu ya akiba ya Serikali

Kumbe MO anamiliki nusu ya akiba ya Serikali

Unajua kuwa TRA wanakusanya 1.2t kila mwezi? Hizo ni kama $0.5b.
Mo hana cash $2b hio jumla ya utajiri wake wote sio cash in the bank.
Halafu ile $5b sio foreign reserve? Au ndio akiba yote?
Ndo akiba yote,
Akikusanya za Tsh, zinazobakia analipa madeni, ikibaki anabadilisha kwenda Usd na kuwa reserve
 
mo hana pesa mwenye pesa ni baba yake mzee gulam mzee gulamabbas ndio mwenye metl na yeye aliiinherit kutoka kwa baba yake mohamed dewji sr ambaye ni babu yake na mohamed dewji jr dewji hana pesa yoyote kila kitu ni cha baba yake sema yeye ndio mtoto mkubwa wa kiume afu mzee wake he is getting old
Afu we una wivu...sio bure! Afu una atitude flani hivi, kujua unajua ila unaelezea kwa mabavu hadi unataka pigana na keyboard.
 
Kati ya vitu vilivyonishangaza ni kuwekwa wazi kwa akiba hiyo kiduchu ya fedha za kigeni.
Kwake yeye huyo mtu alieweka wazi ni hela nyingi maana tangu azaliwe ndo amejikuta sasa hivi amepara access ya kuona hivyo lazima awe na kiraru raru
 
Tambua kwamba rais anaongozwa kwa protocol we unadhani ni kweli hiyo akibar aliyotaja?,inaweza kuwa kubwa au ndogo hawezi uza data za nchi kizembe namna hiyo.

Kuhusu mo ananusu ya country reserve sio kweli labda Utajiri wake (resources and assets that he possess) ndio nusu ya country reserve na yeye reserve yake utakuta ni quarter of our CR.

#LofaMimi
 
Huna unalolijua wewe.nani amekwambia Mo ana hakiba fedha ya dola bilion 2? tofautisha utajiri na akiba ya fedha taslimu
Uelewa mdogo na kusema sema ovyo mambo yasiyo na mantiki, mi nashangaa sana watu kuzungumza ukwasi wa Mo ambao hauwezi kuwasaidia kwa namna yoyote ile wao binafsi labda awaajiri.
Anyway that's not my point
Nafikiri mwenye post anatakiwa kujifunza tofauti kati ya utajiri wa Mo na akiba ya Mo, asishangae kuona kwenye akiba yake hana hata kiasi cha Mill 500 za kitanzania, na kumuongezea tu maarifa mtoa post anatakiwa kujua kuwa ni hasara kubwa kuwa na akiba inayofikia kiasi hata ya Shs 100mil kwa mfanya biashara.
Kitu kingine anapaswa kujifunza tofauti kati ya utajiri wa serikali na akiba ya serikali ni mjinga tu ndiye anayeweza kulinganisha utajiri wa serikali hasa tanzania na mtu binafsi kama Mo au unaweza kuwajumlisha wote unaowafahamu na wasifikie nusu ya utajiri kwenye sector moja tu ya Utalii.
 
Nimemsikia Rais Magufuli akisema serikali Ina akiba ya Dola za Kimarekani Bilioni 5 zinazoweza kuendesha nchi Kwa takriban miezi sita huku mfanyabiashara MO Dewji akimiliki utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2 kwa mujibu wa Jariba la Forbes ambao ni karibia nusu ya akiba iliyo nayo serikali!

My take : Wafanyabiashara siyo wa kubezwa maana wameshikilia sehemu kubwa ya uchumi wa nchi ,pia viongozi wetu wawe Na hekma siyo kila data ya kuweka hadharani huenda zikatumiwa vibaya Na maadui.
Huyo mo hizo hesab ni pamoja na mashamba,sasa hzo za serikal ni kesh
 
Back
Top Bottom