Kumbe mpenzi mpya wa Harmonize aliwahi kuolewa na mmasai

Discussing personality of other is discussing yours.
 
Do na wamasai wanavyofanya vibaya, kamtanua mtoto sara halafu kampiga chini, harmo cheza na kiatu hicho japo najua hakikutoshi
Tatizo la Wanasai USHIRIKIANO wao umevuka KIWANGO....Huwa ni watu wanao endekeza sana tabia ya MTUNGO...kwao MANDE ni kama kudumisha Mira na Desturi.

Ndio maana UKIMWI unawamaliza..

Nina MASHAKA na huyo MZUNGU...
Mapenzi na Mmasai, ni vigumu sana kuepuka MTUNGO..
 
HEBU FAFANUA KIONGOZI!!
Sina maana mbaya mkuu,ila naamini ni lazima kwanza ujikane utu wako wa nje na ndani sababu kweli sote ni watu lakini hatufanani kwa lolote,sasa ukimpeleka kule kwetu Goweko unahisi imekaaje mkuu,si unajua mtu kwao. Ni kama hata ndugu zako umewakana tayari.
 
Umenikumbusha story ya mama yangu mkubwa brother alioa mke ambae ni chotara wa kijerumani basi kopi kutoka nyeupe kwa kwenda mbele basi bimkubwa akawa anatania "hawa watoto wenu nikiwabeba na kwenda nao sehemu si nitaonekana kama housegirl "
 
Umeona sasa,stigma tayari hapo.
 
Hata akiolewa mara kumi au ishirini tatizo liko wap... Au sahani inakuwa imepasuka haitumiki tena... Utamu upo pale pale.. Anagegedwa vizur tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…