donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
- #41
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hiyo mimba Ni mmasai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hiyo mimba Ni mmasai.
Nyie wa mikoani mpo bize kwenye kuvuna mazaoAisee! haya mambo hebu tuwaachie nyie wanadaresalama
Watasema mmasai ananukakwa hyo watu hawataki Harmonize atoke na huyo Sarah kisa katoka na mmasai? Bongo bana watu wana roho za kwanini.
Tatizo la Wanasai USHIRIKIANO wao umevuka KIWANGO....Huwa ni watu wanao endekeza sana tabia ya MTUNGO...kwao MANDE ni kama kudumisha Mira na Desturi.Do na wamasai wanavyofanya vibaya, kamtanua mtoto sara halafu kampiga chini, harmo cheza na kiatu hicho japo najua hakikutoshi
Sina maana mbaya mkuu,ila naamini ni lazima kwanza ujikane utu wako wa nje na ndani sababu kweli sote ni watu lakini hatufanani kwa lolote,sasa ukimpeleka kule kwetu Goweko unahisi imekaaje mkuu,si unajua mtu kwao. Ni kama hata ndugu zako umewakana tayari.HEBU FAFANUA KIONGOZI!!
Personality???Discussing personality of other is discussing yours.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukisha ingia dar tu unakuwa bashite!!!
Umenikumbusha story ya mama yangu mkubwa brother alioa mke ambae ni chotara wa kijerumani basi kopi kutoka nyeupe kwa kwenda mbele basi bimkubwa akawa anatania "hawa watoto wenu nikiwabeba na kwenda nao sehemu si nitaonekana kama housegirl "Sina maana mbaya mkuu,ila naamini ni lazima kwanza ujikane utu wako wa nje na ndani sababu kweli sote ni watu lakini hatufanani kwa lolote,sasa ukimpeleka kule kwetu Goweko unahisi imekaaje mkuu,si unajua mtu kwao. Ni kama hata ndugu zako umewakana tayari.
Umeona sasa,stigma tayari hapo.Umenikumbusha story ya mama yangu mkubwa brother alioa mke ambae ni chotara wa kijerumani basi kopi kutoka nyeupe kwa kwenda mbele basi bimkubwa akawa anatania "hawa watoto wenu nikiwabeba na kwenda nao sehemu si nitaonekana kama housegirl "
Naimbua mpungaNyie wa mikoani mpo bize kwenye kuvuna mazao
Utamu upo pale pale.. Anagegedwa vizur tu
Yaah hata kama ni story ya muda ila suala zima la unyanyapaa huwa haliishi toka katika jamii kwa jamii japo kidogo. Na linaanzia mbali penye rangi, elimu, koo au hata kabila achilia mbali kanda (zone )na utajiri pia ni mchanyato huo.Umeona sasa,stigma tayari hapo.
Mapenzi hayana makombo..