Kumbe mpenzi mpya wa Harmonize aliwahi kuolewa na mmasai

Kumbe mpenzi mpya wa Harmonize aliwahi kuolewa na mmasai

yeah sisi wamasai mikuyati yetu ina matawi sio kama ya malayoni nyambaff!
 
Ukimkuta binti wa kizungu mombasa,malindi,znz haswa kiwengwa huko. West africa Gabon, Togo ujue ana fuata mihogo ya waafrika. Kuna kitu very common among white girls Sex tourism. Mombasa kuna gaming massage hotspots za mambo hayo kabisa mpaka kwenye internet zinaelezewa.

Harmonize mwache atumie fursa kabla maji hayajapoa.
Umesahau Caribbean hasa Jamaica uwa wanafuata black bamboo
 
Huyu Dogo naye kazidi kutoka na extra used. Kwanini asitafute machimbo mapya? Mbona yapo mengi tu
 
"Nguo kuu kuuu ndo dekio jipya atiii"....muacheni Harmonize ajilie Mzungu.
 
Mmmh... Harmonize kapotea hapo..... Kumbe alikuwa ex baby wa mmasai.... Hicho kiatu harmonize akimtoshiiii
 
Hiyo kitu haina makombo wewe.kila mtu anaila kwa wakati wake.
 
Wewe demu wako ulimkuta sealed kama ebitoke nini!???
 
Bongo ukiwa na demu wa kizungu ujiko. Kuna mshkaji mmoja Chinga alienda na demu wa kizungu kijijini kwao Mtwara huko basi mpaka watu wa vijiji vya jirani walikuja kushuhudia, ikapigwa sindimba wiki mbili. Chezea mzungu wewe!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom