Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Salaam wanaJF.

Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,

Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.

Sasa wiki iliyopita nikaona hapana kwa huu utulivu ivi ndivyo alivyo au anauasi nyuma ya pazia maana hana ishara ya kuchepuka japo simu yake uwa anaiweka password ngumu kinoma, nikatengeneza account ya Facebook nikachukua picha za jamaa angu wa mkoani ni handsome na mtu wa viwanja vikali, mtu wa kubadirisha magari tu, nikaziweka picha zake kadhaa nikamfriend request mchumbaangu akaAccept, tukachart kama siku mbili kisha nikamtongoza hajachomoa demu akakubari safi tu, nikatafuta laini mpya kisha nikaDownload app ya kubadirisha sauti nikawa naongea nae adi usiku tunachart whatsapp kisha nikamdanganya mim naishi mtaa wa nne kutoka kwao ila nikamwambia nimesafiri mara moja ila ijumaa narudi,

Nikampromise namletea zawadi ya simu ya Samsung brand new na viatu, nikachukua clip fupi ya samsung unboxing yan akapagawa , akafurahi sana na mabusu mengi mengi, nikamuomba picha zake za uchi akapiga akanitumia zakutosha, kiufupi ni kwamba mahaba yakawa yamekolea nazi haswaa tena kwa mtu ambaye hamjui wala hajawai ata kuonana nae ila anamtumia picha za uchi adi K yote kaipiga picha kanitumia. “inaniumiza kichwa lakin nataka niuone mwisho wake huo kesho"

Tumepanga mengi ya maisha adi tupelekane kwao ndani ya wiki na nusu tu kaingia kingi mazima uyu mpenz wangu wa moyo tena kwa mtu hasiyemjua,

Tumepanga tukutane kwenye Guest house fulani ivi iyo ijumaa tuikule mbususu ameniambia fresh na anahamu ya kulionja dushe langu na amenipa ahad nyingi sana za kunipa penz tamu. Sasa nataka nimchezee mchezo japo inaumiza moyo,

nimeshaenda kumpanga na jamaa wa kwenye iyo gest kwamba tucheze mchezo demu nitampigia simu anapokuja nitamwambia aje chumba namba fulani mlango upo wazi, yan anapoingia tu jamaa azime umeme kwenye main switch kuwe giza totoro alaf baada ya dakika maybe 15 awashe ,

Kabla ya yote tumepanga mim na uyu demu kwamba akifika tu tuanze na romance moja kwa moja kabla ya salamu, sasa mim nitamuanza na romance adi nimle kabisa adi umeme unapowaka akute kumbe yule mpenz wake mpya wa Facebook sio kumbe ni mim mpenz wake ninayetarajia kumuoa na kwao nimetambulishwa na huduma zote namfanyia, .

Wakuu hii situation inaniumiza moyo na sijui kama Dushe litasimama lakin nitaliinua na K-vant mojamoto..

WAKUU ILO TUKIO NALIFANYA KESHOKUTWA NIOMBEENI WAKUU..

[emoji24][emoji24][emoji24]
Unataka tukuombee kwa nani,na tukuombee nini?
 
MAZEE MCHONGO ULITIKI LAKIN SIO NDANI CHUMBANI, ALIZINGUA KUJA CHUMBANI KABISA, ALIKATAA KATA KATA KUJA NDANI ANAOGOPA HATUJUANI YUNAONANA PICHA TU NA KUONGEA, SABABU TULIKUWA HATUJAWAI KUONANA IVYO AKASEMA ANAOGOPA KUJA DIRECTLY NDANI,

AKASEMA AKIFIKA NJE ANANIPIGIA NIJE NIMCHUKUE, ALIPOFIKA TU AKANICHEKI NIKATOKEA NYUMA YAKE KISHA NIKAMGUSA BEGA NIKAMUULIZA KIPENZ HABARI YAKO, VIPI KULIKONI APA GUEST MUDA HUU, KIGUGUMIZI KIKAMPATA GHAFLA AKAANZA KUJING'ATANG'ATA, NIKAMWAMBIA KUNA MTU UMEWASILIA NAE UJE MPEANE PENZI UMO GUEST AKAKATAAUKU AKITETEMEKA KINOMA NA JASHO JUU,

NIKAMWAMBIA NAOMBA SIMU YAKO AKAGOMA, NIKAMWAMBIA SUBIRI NIKACHUKUA SIMU YENYE ILE NAMBA NIKAMPIGIA APO APO KISHA NIKAMWAMBIA MPENZI MTU “X" ULIYEKUWA UNAWASILIANA NAE NI MIMI MWENYEWE MPENZI,

DAH DEMU ALILIA KINYAMA MZEE, AKAPIGA GOTI LA KUANGULA CHINI MIM NIKAMWAMBIA USIJARI NIMESHAANDAA CHUMBA TWENDE NDANI. TUKAENDA NDANI NIKALA MZIGO ILA AMANI ILITOWEKA YOTE.

NIKATOKA NJE NIKACHUKUA PIKIPIKI NIKAMBEBA TUKASEPA NIKAMPA NA VILE VITU NILIVYOMUAHIDI,

DEM KABADIRISHA NAMBA ANATUMIA NAMBA MPYA AMENYOOKA ILA SINA TENA IMANI NAE FALA UYU.
 
Hakuna cha peke yako dunia ya leo acha roho mbaya,kizuri kula na wenzio,pia kumbuka K haina makombo,mhimu kama mnaheshimiana inatosha yanini kumchunguza binadamu mwinzio utadhani wewe huna mapungufu!ok usisahau kapicha japo ka matako tuone kama yaliyomo yamo
Yaani kwa aliyeoa ni kwamba hicho kinatakiwa kuwa cha pekee, hakuna habari za kizuri kula na mwenzio. Acha kupotosha.
 
MAZEE MCHONGO ULITIKI LAKIN SIO NDANI CHUMBANI, ALIZINGUA KUJA CHUMBANI KABISA, ALIKATAA KATA KATA KUJA NDANI ANAOGOPA HATUJUANI YUNAONANA PICHA TU NA KUONGEA, SABABU TULIKUWA HATUJAWAI KUONANA IVYO AKASEMA ANAOGOPA KUJA DIRECTLY NDANI,

AKASEMA AKIFIKA NJE ANANIPIGIA NIJE NIMCHUKUE, ALIPOFIKA TU AKANICHEKI NIKATOKEA NYUMA YAKE KISHA NIKAMGUSA BEGA NIKAMUULIZA KIPENZ HABARI YAKO, VIPI KULIKONI APA GUEST MUDA HUU, KIGUGUMIZI KIKAMPATA GHAFLA AKAANZA KUJING'ATANG'ATA, NIKAMWAMBIA KUNA MTU UMEWASILIA NAE UJE MPEANE PENZI UMO GUEST AKAKATAAUKU AKITETEMEKA KINOMA NA JASHO JUU,

NIKAMWAMBIA NAOMBA SIMU YAKO AKAGOMA, NIKAMWAMBIA SUBIRI NIKACHUKUA SIMU YENYE ILE NAMBA NIKAMPIGIA APO APO KISHA NIKAMWAMBIA MPENZI MTU “X" ULIYEKUWA UNAWASILIANA NAE NI MIMI MWENYEWE MPENZI,

DAH DEMU ALILIA KINYAMA MZEE, AKAPIGA GOTI LA KUANGULA CHINI MIM NIKAMWAMBIA USIJARI NIMESHAANDAA CHUMBA TWENDE NDANI. TUKAENDA NDANI NIKALA MZIGO ILA AMANI ILITOWEKA YOTE.

NIKATOKA NJE NIKACHUKUA PIKIPIKI NIKAMBEBA TUKASEPA NIKAMPA NA VILE VITU NILIVYOMUAHIDI,

DEM KABADIRISHA NAMBA ANATUMIA NAMBA MPYA AMENYOOKA ILA SINA TENA IMANI NAE FALA UYU.
Mzee, hapa unazingua.
Yaani tukio limetokea this week, halafu unasema demu kabadilika na kanyooka, kweli!.? Yaani umesha draw conclusion...
Be a man brother...!
 
Back
Top Bottom