Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Nampenda sana ndio maana nataka apate fundisho.
We bdo ni mtoto sijui? Yaani mwanamke kama anatabia mbovu mbovu huwezi mbadilisha, huyo ukija ishi nae atakupa magonjwa ya moyo aisee.

Mi kunamwanamke nilimpenda nikaenda na kujitambulisha kwako tukaanza harakati za kutoa na mahari, sikumoja nilimfuma na sms za mapenzi, akaanza jitetea kumbe huyo jamaa ni mtu wake.

Kwakuwa nilikuwa nampenda niliendelea nae ila moyo ulikuwa umegoma kabisa kuendelea nae, nilimpigia sim nikamwambia tuishie hapa, wewe hunipendi wala nini sema tu nahisi unahitaji kuolewa.

Ndio tukaishia hapo, Mungu akanifungulia njia nikapata mwanamke anaye nipenda sasa tunaishi na tunamtoto mmoja. Wewe yanini ung'ang'anie mahusiano?

Kwakipindi hicho niliumia lakini maumivu yaliisha, ukisha ona dalili mbaya kwenye mahusiano achana na hayo mahusiano.
 
Salaam wanaJF.

Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,

Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.

Sasa wiki iliyopita nikaona hapana kwa huu utulivu ivi ndivyo alivyo au anauasi nyuma ya pazia maana hana ishara ya kuchepuka japo simu yake uwa
Ukifanya hvo me naona itakupa stress zaid na utaweka kumbukumbu Kali moyoni mwako...........na ukisema umwambie atajitetea sana na uongo mwingi.....Cha kufanya we hyo ijumaa nenda kale mbususu jamaa akiwasha hizo taa usiseme chochote....vaa nguo sepa...... mblock mwezi mzima........ hakuna kitu kinaniuma kwetu sisi wanawake kama kumkosea mwanaume alaf asikusemeshe!.....Ila tu usimuache Kuna wanawake wanafanya ushenzi zaid ya huo!
 
Sasa najiuliza yote hayo ya nn mpk ukazime umeme sijui nini umle kabisa sijui romance mbona kuna options nying tu wewe hapo huamin nn hata ku screenshots tu nakumuonesha mkiwa nae au kumuonesha live chart zake akajua ninwewe inatosha kbx fanya maamuz ila amekosea sana huyo mchumba wako hajatulia
Mkuu uyu mwanmke bila ya kumuita kuja guest anaweza akajitetea tu kwa kusema sikuwa na nia ya kusekx na uyu mwanaume ilikuwa nimlie vitu vyake tu,

Kaka awa wanawake wapo vizur kwenye kujitetea, LENGO LANGU AINGIE ROOM NIMLE ALAF AJUE KUWA NI MIMI ILI AJIONE KWAMBA YEYE NI kama KAHABA, wanajiteteaga sana hawa atasema sikuwa na nia ya kumpa papuchi unafikiri ushahis wangu utakuwa umejaa nyama apo
 
We bdo ni mtoto sijui? Yaani mwanamke kama anatabia mbovu mbovu huwezi mbadilisha, huyo ukija ishi nae atakupa magonjwa ya moyo aisee.

Mi kunamwanamke nilimpenda nikaenda na kujitambulisha kwako tukaanza harakati za kutoa na mahari, sikumoja nilimfuma na sms za mapenzi, akaanza jitetea kumbe huyo jamaa ni mtu wake.

Kwakuwa nilikuwa nampenda niliendelea nae ila moyo ulikuwa umegoma kabisa kuendelea nae, nilimpigia sim nikamwambia tuishie hapa, wewe hunipendi wala nini sema tu nahisi unahitaji kuolewa.

Ndio tukaishia hapo, Mungu akanifungulia njia nikapata mwanamke anaye nipenda sasa tunaishi na tunamtoto mmoja. Wewe yanini ung'ang'anie mahusiano?

Kwakipindi hicho niliumia lakini maumivu yaliisha, ukisha ona dalili mbaya kwenye mahusiano achana na hayo mahusiano.
Bila hii movie kukamilika sitopata amani mkuu,, uyu dem ananipaga ahadi kedekede kila wakati kuwa siwez kukusaliti kivyovyote vile, siwez tembea na mtu yeyote zaid yako ivyo basi nataka kumuonesha kuwa yey sio mkwel ni mnafiki tena mwenye tamaa
 
Ukifanya hvo me naona itakupa stress zaid na utaweka kumbukumbu Kali moyoni mwako...........na ukisema umwambie atajitetea sana na uongo mwingi.....Cha kufanya we hyo ijumaa nenda kale mbususu jamaa akiwasha hizo taa usiseme chochote....vaa nguo sepa...... mblock mwezi mzima........ hakuna kitu kinaniuma kwetu sisi wanawake kama kumkosea mwanaume alaf asikusemeshe!.....Ila tu usimuache Kuna wanawake wanafanya ushenzi zaid ya huo!
Asante Dada,, Hii movie nisipoikamilisha atajitetea uyu kwa kusema nilijua tu kuwa ni wew.. sasa nataka leo mim MASSETO original nimuombe mbususu kisha najua tu ataniambia leo kuna dharula nimeipata alaf anaenda kuonana na MASSETO wa kumletea SAMSUNG
 
Una Muda wa Ziada eitherway....

Kwa kutunga hii story (ingawa sio mbaya sana sababu unatoa burudani) AU

Kama ni kweli umekosa kazi za kufanya..., umefanya hayo yote ili iweje ? Je ukifika mpaka mwisho akasema alikuwa anajua na wewe anakupima akili zako na uaminifu wako kwake ? Huo muda wa kupoteza uliotumia mgelima shamba la mchicha sasa hivi si mgekuwa mnavuna ? Badala ya kupalilia penzi wewe unamwaga magugu....
Hii kitu nishafanya pia, tukaishia kuachana tu, kiufupi usimchunguze demu wako maana binadamu mkamilifu kumpata sio virahisi. hata wew pia ni walewale tu.
 
Kwa ulivyomuingia je angekuwa mwanamke fulani amekuingia hivyohivyo ungekataa??

Binadamu wote udhaifu wetu ni pesa na vitu vizuri.....the offer was too good to turn down kwa mwanamke alieishi na kukulia maisha ya kawaida....

If she is too good of a woman huo ndo udhaifu wake ubebe
Na ukute jamaa anapendwa sana na huyo manzi ila manzi kaamua kutoa papuchi kwa siku moja tu then aendelee kua na mshikaji
 
Salaam wanaJF.

WAKUU ILO TUKIO NALIFANYA KESHOKUTWA NIOMBEENI WAKUU..

[emoji24][emoji24][emoji24]

Mkuu Leo ndiyo Leo, Piga KVANT kabisa dushe lisimame Dede..

Tunasubiri tu mrejesho.
 
Hamna tunakuambia tu sabb aliposema atakupa mapenz motomoto hapo anawez kukupa hata tigo ukiruhuc kuwa nae hiyo laana itaendlea kuish kweny familia na ukoo wako
Kumbe tigo inalaana mkuu..
 
Hii kitu nishafanya pia, tukaishia kuachana tu, kiufupi usimchunguze demu wako maana binadamu mkamilifu kumpata sio virahisi. hata wew pia ni walewale tu.
HII MISSION NIMEIFANYA SASA NI MARA YA PILI, NAKUMBUKA ATA 2016 NILISHAWAI KUIFANYA KWA BINTI WA ASKOF MMOJA MKUBWA TU. AISEE ALIINGIA KINGI KIRAHISI KABISA YAN.. ILA SIKUMUITIA GUEST NILIACHANA NAE JUU KWA JUU
 
Back
Top Bottom