Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,777
We bdo ni mtoto sijui? Yaani mwanamke kama anatabia mbovu mbovu huwezi mbadilisha, huyo ukija ishi nae atakupa magonjwa ya moyo aisee.Nampenda sana ndio maana nataka apate fundisho.
Mi kunamwanamke nilimpenda nikaenda na kujitambulisha kwako tukaanza harakati za kutoa na mahari, sikumoja nilimfuma na sms za mapenzi, akaanza jitetea kumbe huyo jamaa ni mtu wake.
Kwakuwa nilikuwa nampenda niliendelea nae ila moyo ulikuwa umegoma kabisa kuendelea nae, nilimpigia sim nikamwambia tuishie hapa, wewe hunipendi wala nini sema tu nahisi unahitaji kuolewa.
Ndio tukaishia hapo, Mungu akanifungulia njia nikapata mwanamke anaye nipenda sasa tunaishi na tunamtoto mmoja. Wewe yanini ung'ang'anie mahusiano?
Kwakipindi hicho niliumia lakini maumivu yaliisha, ukisha ona dalili mbaya kwenye mahusiano achana na hayo mahusiano.