Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Bro ananipima adi kunitumia picha za uchi, kuwa serious mkuu..
 
Mkitungaga stori kama hivi mnafaidika nini?
 
Sasa mkuu,unaweza kuta hapo umemuahidi vitu ambavyo wewe kiuhalisia humpi?

Kila binadamu ana tamaa hapo shukuru umegundua mapema.
Bro kipato changu ni cha kati, nammudu kwa huduma zote, iwe kifedha adi unyumba. Na sio kwamba siwez mnunulia iyo Samsung maana ata smartphone anayotumia ni mimi nimemnunulia 300k bro.. viatu vya kike shngapi bro mim nishindwe na ninamnunulia nguo na kila kitu
 
Sijui kama nitaoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa niowe mwezi wa 10 nikasogeza mbele mpaka mwezi huu wa 12.... Na kwa huu uzi ngoja nisogeze tena mpaka mwakani mwezi wa 4
Bro sio wote wapo ivi lakin wengi wapo ivi, ni wachache sana ambao hawapo ivi na wanaweza kuzikimbia tamaa za ivyo
 
Mkuuuu pole sana unatatizo la kisaikolojia kubwa unahitaji msaada wa kisaikolojia kwa tuliosomea saikolojia pole na krb dm nikusaidie.
 

Inaonekana Plan imekamilika, Je umeshawaza nini kifuate Baada ya hup mtego ? Atagundua ni wewe Mchumba wake. Then ?
 
Kwa ulivyomuingia je angekuwa mwanamke fulani amekuingia hivyohivyo ungekataa??

Binadamu wote udhaifu wetu ni pesa na vitu vizuri.....the offer was too good to turn down kwa mwanamke alieishi na kukulia maisha ya kawaida....

If she is too good of a woman huo ndo udhaifu wake ubebe
 
Bro, mfano rahis tu wenye ukakasi kidogo,, mnaishi mtaa fulani alafu moja kati ya wazazi wako yaani mama au baba yako amefumaniwa Guest house na mtu mwingine, unahisi apo aibu itaenda kwa mama au baba aliyefumaniwa,

Mwanamke akitumika na mtu baki ni fedhea kwa jamii nzima lakin mwanaume haina uzito na ninayaongea aya haimaanishi nina mfumo dume,,

Mwanamke anashuka heshima vibaya mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…