Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Mwenzio unamuona alivyo. Ila Karama yako ya ujinga ni kubwa
 
Salaam wanaJF.

Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,

Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.

Sasa wiki iliyopita nikaona hapana kwa huu utulivu ivi ndivyo alivyo au anauasi nyuma ya pazia maana hana ishara ya kuchepuka japo simu yake uwa
Yaan watu wazime umeme kisa mteja mmoja kwel, alaf kwny maguest huwa hawapendi maugomvi.
 
Mmmh pole mkuu usijaribu kumchunguza ama kumjaribu demu pindi tupo chuo kweli room moja tulikua wanaume ka nane hivi basi siku moja tukasema kila mtu atoe namba ya manzi ake af atongozwe na mchiz mmoja wetu pale looh ilikua balaa jaman Yan mademu wote wanakasema wapo single adi dem wangu looh [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] watu wanatembea na office zao msishangae jmn
 
Yaan watu wazime umeme kisa mteja mmoja kwel, alaf kwny maguest huwa hawapendi maugomvi
Bro iyo guest sio kwamba namna gan, iyo guest ni nzuri ni vile tu inakuwaga haina wateja alaf naipata vizuri, guest na bar vipo tofaut ktk main switch,

Inamain switch mbili. Pia watoa huduma wote wawili ni masela zangu kinoma wakufa na kuzikana.. kwaiyo nimeshapngana nao na hakuna tatizo ktk ilo. Ni wanangu kinoma .
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] watu wanatembea na office zao msishangae jmn
Ila hii ofisi ni ngumu sana kuielewa, ipo kiupole mstaarabu mno. Sipati picha iyo kesho anavyonidanganya MASSETO original maana namim pia nitamuomba papuchi,,
 
Duu yaani hawa viumbe hawaelewiki wanataka nn,,
Ndiyo maana ss wanaume tunakufa wengi kuliko wao na tunawaacha wakiwa wajane!!
Wameweka tamaa mbele, iyo Samsung sio kwamba siwez mnunulia, nimemnunulia simu kali ila bado anaenda kumvulia boy mwingine sabab ya kitu. Aibu sana hii
 
Sasa umeme ukizimwa, Demu si atawasha tochi ya kwenye Simu na atakuona kabla haujamuonya?.

Ila wanawake wa hivi wapo sana. Niliwahi sikia, Kuna jamaa kule Morogoro aliambiwa mke wake anajiuza usiku pale Msamvu, akafuatilia na kweli alimkuta mke wake na machangu wenzake.
 
Salaam wanaJF.

Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,

Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.

WAKUU ILO TUKIO NALIFANYA KESHOKUTWA NIOMBEENI WAKUU..

[emoji24][emoji24][emoji24]

Kichwa changu kizito
 
Sasa umeme ukizimwa, Demu si atawasha tochi ya kwenye Simu na atakuona kabla haujamuonya?.

Ila wanawake wa hivi wapo sana. Niliwahi sikia, Kuna jamaa kule Morogoro aliambiwa mke wake anajiuza usiku pale Msamvu, akafuatilia na kweli alimkuta mke wake na machangu wenzake.
Bro ni timing tuliyoichorea raman lakin ni raman ya maumiv maana nimeitengeneza kwaajiri ya mke wangu mtarajiwa, main switch ipo kwenye corridor alaf chumba nilichopanga kuchukua kipo pia kwenye corridor, ivyo bas ni kwamba mtu anayezima main switch atakuwa ametenganishwa na pazia laini ambalo uyu mke wangu hatogundua kitu,

Nitamwelekeza chumba nilichochukua, yaan mlango naacha wazi alaf nasimama nyuma ya mlango anapoingia tu jamaa anazima umeme apo patakuwa na giza alaf yupo ndani, nitamromance kwa kujikaza kisha namkula japo kwa maumiv, nilishasema nitapiga K-vant moto ili kuupa moyo ganzi.
 
Mwishowe tunatangaziwa wapenzi wauana gest..
 
Hakukuwa na ulazima hata wa kuzima umeme. Huyo Dem ndio angetangulia kisha akujuze yupo chumba kipi. Haina hata haja ya kumgegeda, unaingia tu unamuonyesha ushahidi kisha unapiga chini.
 
Back
Top Bottom